MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

huuu uzi utaenda mbali sana, comments zenu zina tija

teh teh
big up sanaaaa
 
mwanaume ni hela tu hakuna umri wa kuoa!
mimi mwenyewe ni 48+yrs na nina "wachumba"watatu wote ni below 22
umaskini ndio unawafanya wanaume wengi wawahi kuoa....kama hela ipo hata 50+ yrs unapata mke...mzee ni maskini tajiri hazeeki!
.....teh hee hee.
....we jamaa mtu mzima,ila ni booooonge moja la kibuyu!
...umri huo wenzio watoto wamemaliza vyuo vikuu,
..we eti unawaza 'wachumba!'


.utakuwa 'tajiri' wa uzuzu!
 
Kuoa sio mchezo na sio jambo la kukurupuka kabisa yaani... Kosea kujenga sio KUOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…