Nemo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2011
- 751
- 1,331
Not at the moment,,,,,,,,,,,,,,,,,,may try for one in a couple of years.Huna mtoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not at the moment,,,,,,,,,,,,,,,,,,may try for one in a couple of years.Huna mtoto?
Duh, we Dina! Mie uncle wako kabisa. Yani we hata ikitokea tukaachwa wawili sitakubali kwa sababu mdogo mno..We una miaka mingapi?
Mimi je? Nna miaka mingapi?Ulisikia wapi
Tena nimempunguziaa nna 28
Eeeh mwanjelwa tenaNaelekea Mwanjelwa kukata kitambaa. Dalili ya mvua.....
Mule muleHio daah vipi?!
huuu uzi utaenda mbali sana, comments zenu zina tijaKwa tamaduni na mazingira ya kiafrika yalivyo ukishafika miaka 33+ ni vigumu sana kupata mwenza aliye sahihi hii ni kwa jinsia zote!
Kwa umri huo watu wa umri wako ambao wako available watakuwa ni wataraka au masingle mothers/fathers na waliokobuhu kwenye mahusiano kiasi kwamba hata kuumiza au kuumizwa hawaoni shida kabisa.
.....teh hee hee.mwanaume ni hela tu hakuna umri wa kuoa!
mimi mwenyewe ni 48+yrs na nina "wachumba"watatu wote ni below 22
umaskini ndio unawafanya wanaume wengi wawahi kuoa....kama hela ipo hata 50+ yrs unapata mke...mzee ni maskini tajiri hazeeki!
.huuu uzi utaenda mbali sana, comments zenu zina tija
teh teh
big up sanaaaa
hiyo dot unamaanisha nini shem
Ha ha ha wewe mtu majibu yako huwa yananifurahisha sana......teh hee hee.
....we jamaa mtu mzima,ila ni booooonge moja la kibuyu!
...umri huo wenzio watoto wamemaliza vyuo vikuu,
..we eti unawaza 'wachumba!'
.utakuwa 'tajiri' wa uzuzu!
Hujanimiss?hiyo dot unamaanisha nini shem
nimekumis sana ila namuheshimu sana Inna, sitaki kuona chozi lakeHujanimiss?
Ndio mpendwaEeeh mwanjelwa tena
Brod darlin, miaka 26 ni mdogo sana?Duh, we Dina! Mie uncle wako kabisa. Yani we hata ikitokea tukaachwa wawili sitakubali kwa sababu mdogo mno..
Kwa MfikemooooUnaenda maduka ya kwa Mfikemooo au ya kule kabwe kabisa?Baller anakaribia kuoa huyu,nitamtafutia jezi moja kuuubwa ya Larry Bird afu memba wa JF tunaisaini tunampa zawadi siku ya tukio.