MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Mie na kinyaa cha kunyonya nanihii tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] ila ya kuhudumia nahudumia hata mtu baki bila tatizo lolote. Mfn ile ya kumtoa mtoto kamasi kwa kunyonya(kumradhi), nimewahi muhudumia jirani yangu ambae hata hatuko close baada ya kukosa mtu wa kumhudumia.

Ila hivyo vitu vyataka moyo.
 
Unataka kufanana na gf wa jamaa mmoja aliwahi kuleta kisa chake humu. Huyo binti yaani ni dont care, asipomtafuta nae hamtafuti, akilalamika kidogo anaambiwa kama vipi anaweza akaendelea na ustaarabu wake tu!! Ikawa ni full psychological tourture kwa mwanauke.

Maana ile feeling ya mtu kuona kuwa una umuhimu kwenye maisha yake nayo muhimu ktk ndoa.
 
Njoo uchukue mbege yako hapa
 
Duh.
 
Sasa japo nilikuwa nacho kimoja, si unaona bado nilikatwa daah
 
Hapo kunyonya kamasi nimekupa salute aisee shikamooooo
Mi mwanangu tu nilishindwa na yalikuwa yamemkaba balaa, nikafumba macho nikayavuta Halafu mbio kwenda kutema na kusukutua
 
Akili kubwa hii Mkuu, hongera sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…