ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Tunajua kupeana kwa kiwango kinachoyakiwa.teh teH mapenzi ya kiwango cha 5G! sio kuburuzana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua kupeana kwa kiwango kinachoyakiwa.teh teH mapenzi ya kiwango cha 5G! sio kuburuzana tu
Mie na kinyaa cha kunyonya nanihii tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] ila ya kuhudumia nahudumia hata mtu baki bila tatizo lolote. Mfn ile ya kumtoa mtoto kamasi kwa kunyonya(kumradhi), nimewahi muhudumia jirani yangu ambae hata hatuko close baada ya kukosa mtu wa kumhudumia.Mi nawaza hivii ukiolewa ili mradi tu kuolewa hujampenda huyo mme siku akiugua unamuuguzaje,,(nilivyo na kinyaa kwa mtu ambae hayupo moyoni )
Siku akiishiwa pesa itakuwaje?maana uliolewa tu ili mradi jamii ione nawe umeolewa
Na ndoa ni mjumuiko wa mambo mengi sana sio ngono tu
Tunaowapenda hawatuoi ,sijui tutaolewa na kina nani
Mim mtu ambae naweza kuishi nae ni mmoja tu huyo hata akiugua naweza kumuuguza hata akijinyea naweza mtawaza maana nampenda simuoneagi kinyaa
Mim kama hatonioa huyo nitakaa tu bana mpaka atokee mwingine atakaeniingia kichwani sana
maana wengine sitokuwa na mapenzi nao halaf watanikifu hahaahhaha
Dah!!Kama alikufa kwa maralia je haumtaki?
Unataka kufanana na gf wa jamaa mmoja aliwahi kuleta kisa chake humu. Huyo binti yaani ni dont care, asipomtafuta nae hamtafuti, akilalamika kidogo anaambiwa kama vipi anaweza akaendelea na ustaarabu wake tu!! Ikawa ni full psychological tourture kwa mwanauke.Hapana mkuu..................I'm pretty chill and normal 🙂
I was just lucky enough to come to a realization very early on in my life that I am valid and worthy, with or without a man in my life! This I believe is one the main struggle for most of the ladies especially kwenye culture za kiafrica.
Usibadili tena ID yako jf kushusha miaka! Zamani ulikuwa id gani??ahahha ukubwa haujifichi mkuu ! mie mhenga
Upiversity ktk ubora wake!.....teh hee hee.
....we jamaa mtu mzima,ila ni booooonge moja la kibuyu!
...umri huo wenzio watoto wamemaliza vyuo vikuu,
..we eti unawaza 'wachumba!'
.utakuwa 'tajiri' wa uzuzu!
Njoo uchukue mbege yako hapaWanaume wenye mentality kama hii yako obvious wana mipaka yao linapokuja suala la ku-approach wanawake.
Mwanaume mwenye mentality kama hii yako mara nyingi huwanasa wanawake wavivu wasiokuwa na maono ya mbali na future zao!
Mwanaume mwenye mentality kama hii yako ni nadra sana kuwa na ujasiri wa kumfuata mwanamke msomi ambae tayari yuko financially stable(unless uwe na cha ziada)
mwanaume anasema tajiri hazeeki na anatumia pesa kama msingi wa kujenga ndoa ni rahisi kulea watoto wa mwanaume mwenzie bila ya yeye kujua.
mwanaume mwenye mentality kama yako yuko kwenye hati hati ya kumpata mwanamke mwizi na muhuni.
Duh.Mie na kinyaa cha kunyonya nanihii tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] ila ya kuhudumia nahudumia hata mtu baki bila tatizo lolote. Mfn ile ya kumtoa mtoto kamasi kwa kunyonya(kumradhi), nimewahi muhudumia jirani yangu ambae hata hatuko close baada ya kukosa mtu wa kumhudumia.
Ila hivyo vitu vyataka moyo.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] imbombo ngafuUtasikia, "mchungaji hebu zungumza nae labda kuna jambo hataki kutueleza sisi!!"
Mie kijeba hata wewe ni mdogo wangu.Kwahio hapa unaniambia wewe ni kabinti...
Sasa japo nilikuwa nacho kimoja, si unaona bado nilikatwa daahOoooh nimekumbuka, sasa si bora wewe ulikuwa nacho kimoja. Mie aliniambia hata cha bahati mbaya sina mweeeeh[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwa vigezo vile basi mie naona tusubiri subiri kushona sare maana zitapitwa 'fashoni' na Mentor nae sijui aliishia wapi na vigezo vyake!!
Imagine marafiki wa hao wachumba zake wakiona shost zao wako na lipedeshee wanaonaje!! na wasichana walivyokuwa rahisi kuongozwa na mob psychology! Si watakuwa wanaota tu na wenyewe wapate lipedeshee hata kama lina umri wa babu yaoahahahha na kweli wanaharibu wanwake
Usibadili tena ID yako jf kushusha miaka! Zamani ulikuwa id gani??
Hapo kunyonya kamasi nimekupa salute aisee shikamoooooMie na kinyaa cha kunyonya nanihii tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] ila ya kuhudumia nahudumia hata mtu baki bila tatizo lolote. Mfn ile ya kumtoa mtoto kamasi kwa kunyonya(kumradhi), nimewahi muhudumia jirani yangu ambae hata hatuko close baada ya kukosa mtu wa kumhudumia.
Ila hivyo vitu vyataka moyo.
Wanaume wenye mentality kama hii yako obvious wana mipaka yao linapokuja suala la ku-approach wanawake.
Mwanaume mwenye mentality kama hii yako mara nyingi huwanasa wanawake wavivu wasiokuwa na maono ya mbali na future zao!
Mwanaume mwenye mentality kama hii yako ni nadra sana kuwa na ujasiri wa kumfuata mwanamke msomi ambae tayari yuko financially stable(unless uwe na cha ziada)
mwanaume anasema tajiri hazeeki na anatumia pesa kama msingi wa kujenga ndoa ni rahisi kulea watoto wa mwanaume mwenzie bila ya yeye kujua.
mwanaume mwenye mentality kama yako yuko kwenye hati hati ya kumpata mwanamke mwizi na muhuni.
Good nakuunga mkono[emoji122] [emoji122] [emoji122]Bado halijazama, hata hivyo kuoa na kuolewa sio lazima, ili mradi tu uwe na amani ya moyo. You got kids?