MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?



kama umeoa wewe unafanya nn humu mkuu ?? mie namsubiria ubavu wangu
 
Mkuu wamekuonesha pete? Au unataka tubaki madume tupu hapa...
 
Mkuu, uamini usiami hivi tunavyoandika humu vina influence sana, kuna yule mtangazaji wa cloudz kwenye ala za roho huwa anasoma mpaka comments za hizi mada tunazojadili humu.

Sasa kipindi chake kinasikilizwa na watu wangapi.
Aisee ndio nami nimegundua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…