[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Nakwambia ile siku Sikuamini ka ndo Jina langu kweli... Namsomaga kimya kimya tuu, siku kanibamba wee... Nilifokewa mara moja tuu halafu si unajua jibu langu huwa ni 'Sawa' kama nikiona mtu kachukia
Naona tunazibiana riziki ... NakudaiHaujambo mdogo wangu?
Wakubwa wakiwa wanaongea inatakiwa ufumbe macho we mtoto!Mmmmh
Mwanaume atatafuta kwa Jasho mwanamke atazaa kwa uchungu, Hizi pesa namtafutia atakanizalia kwa uchungu we nenda kwa aliekufanya uzae kwa uchungu maana alishakutafutia kwa jasho hukutaka tu kuzichukua hzo PesaYeye pesa hana shida nayo kabisa.
Mie nataka pesa tu.
Na hilo jibu ndo kiboko ya mwanaume, yaaani unakubali maisha yanasonga.... Na hutosikia ugomvi ndani milele!!!!!Ha ha ha ha nakumbuka hio post, kweli ulinijibu SAWA nikaishiwa pozi, ila sikukufokea nilikupa jibu short and clear...
Hahahaaaa!!Naona tunazibiana riziki ... Nakudai
WowIf You Could See Yourself As Others See You The Enemies That You Harbor In Your Own Personality Might Be Discovered And Thrown Out..
Yaani we acha tuu auntie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama nakuona ulivyokuwa mdogo!
Zile nilishachukua, nasubiri tu za mkwe wangu Benny hapa.Mwanaume atatafuta kwa Jasho mwanamke atazaa kwa uchungu, Hizi pesa namtafutia atakanizalia kwa uchungu we nenda kwa aliekufanya uzae kwa uchungu maana alishakutafutia kwa jasho hukutaka tu kuzichukua hzo Pesa
SawaWakubwa wakiwa wanaongea inatakiwa ufumbe macho we mtoto!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeonaee
Mwenyewe namuogopaa kweeli, hata hapa aweza badilika
Inawezekana, dont you know that?Nashangaa uwezo wenu wa kuweka emotions kwenye post....