MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Iandike hapa hebu... Hizi wereva hazionyeshi SIGNATURES
If You Could See Yourself As Others See You The Enemies That You Harbor In Your Own Personality Might Be Discovered And Thrown Out..
 
Hahaha
Nakwambia ile siku Sikuamini ka ndo Jina langu kweli... Namsomaga kimya kimya tuu, siku kanibamba wee... Nilifokewa mara moja tuu halafu si unajua jibu langu huwa ni 'Sawa' kama nikiona mtu kachukia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama nakuona ulivyokuwa mdogo!
 
Yeye pesa hana shida nayo kabisa.
Mie nataka pesa tu.
Mwanaume atatafuta kwa Jasho mwanamke atazaa kwa uchungu, Hizi pesa namtafutia atakanizalia kwa uchungu we nenda kwa aliekufanya uzae kwa uchungu maana alishakutafutia kwa jasho hukutaka tu kuzichukua hzo Pesa
 
Ha ha ha ha nakumbuka hio post, kweli ulinijibu SAWA nikaishiwa pozi, ila sikukufokea nilikupa jibu short and clear...
Na hilo jibu ndo kiboko ya mwanaume, yaaani unakubali maisha yanasonga.... Na hutosikia ugomvi ndani milele!!!!!

Afadhali ka umekumbuka
 
Mwanaume atatafuta kwa Jasho mwanamke atazaa kwa uchungu, Hizi pesa namtafutia atakanizalia kwa uchungu we nenda kwa aliekufanya uzae kwa uchungu maana alishakutafutia kwa jasho hukutaka tu kuzichukua hzo Pesa
Zile nilishachukua, nasubiri tu za mkwe wangu Benny hapa.
 
Back
Top Bottom