MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Mbona vibabu hua vinaoa vibinti?Hiyo nadharia yako inabidi ichukuliwe kwa tahadhari ila nakubaliana na mada kua kuchelewa kuo ni changamoto sana,ni vizuri ikiwezekana tuoe tukiwa na miaka 25 kwa me na kwa ke kuanzia miaka 18.
 
Sio kuitwa young lady, baby!

Ila nimeshangaa sana. Akili zote hizo hujapata hata wa kukuloga umuoe bila kupenda? Nakuweka kwenye maombi aisee.
Labda ndio kikwazo? Unajua hata kwenye kuwekeza wale wasio-analyze saaana huwa wanafakiwa sana yaani wanajilipua!
 
What doesn't kill you makes you stronger. Usiwaze sana juu ya kesho. Amini mtima wako, angalia furaha yako na ujilipue. Mtazamo wako leo, haukuwa hivi 10 yrs back na miaka 10 ijayo haitakuwa hivi. Umeshaambiwa hakuna anaetaka kuzeeka alone. Angalia quality ambazo miaka 30 ijayo hazitakusumbua.

Was it Maya Angelou aliesema marry someone who makes you laugh? Kwa sababu siku atakayoamua kuacha kukuchekesha you will have to take a hike. Hakunaga formulae za hizi mambo kaka.
Labda ndio kikwazo? Unajua hata kwenye kuwekeza wale wasio-analyze saaana huwa wanafakiwa sana yaani wanajilipua!
 
Kingine ni kuwa unakosa utulivu wa nafsi , unaishi kwa wasiwasi kwani unapoteza matumaini ya kupata mke aliye sahihi, pia unashindwa kustick kwenye ibada ipasavyo maana unaona kama unamchezea Mungu, kama mwislam unakosa nusu ya dini kwani kuoa ni kutimiza nusu ya dini kisha nusu nyingine unaitafuta kwenye mambo mengine ya ibada nk. ILA kimsingi hakuna anayechelewa katika maisha ama kuwahi. Ni kuwa wakati wako haujafika hivyo nikukazana na kufanya juhudi kuomba. Kimsingi katika mapenzi ya kweli huwa hamna masharti kama sijui kuwa na mtoto, huyu hajafika chuo, sijui nataka mwenye kazi, mapenzi hayapo hivyo. Mwanamke ana sifa maalum za kuwa nazo no matter whatever situation she has. ILA kikubwa akupende kwa dhati kutoka moyoni kwa hali yoyote ulokuwa nayo. Ajisubmit kwako na uwe mwenye utii kwako, usimlazimishe maana atakusumbua. Ukiona anaweza kukupa familia bora na akaitunza na akawa na malengo mazuri ya maisha sio wale wa matumizi we oa tu. Mi binafsi nimeoa mwenye mtoto na si kwamba wasio na watoto hawakuwepo. Love first...

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Ebuuuh! Unataka kuoa tumia njia hii,safiri naye safari ndefu zaidi ya Siku 2 mkiwa safarini ,chunguza uvumilivu, kujali,usafi na lugha kati take na wewe na abiria wengine. Mrejeshe home iwapo hajakupa karaha basis huyo mtadumu KTK ndoa vizuri. Km kiuchumi hauko vizuri chagua kati ya 3 unaoona wanafaa,julisha ndg wanaokujali utapata chaguo linalokufaa.Mwisho yote huwezi omba Mungu atakuonesha mtakayewezana Amina.
 
Understood.
 
Safari hii kwa gari,ndege,gari moshi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…