DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Ni kweliKuzeeka mwenyewe sio kitu kizuri.
Upweke kuu control sio kaz rahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliKuzeeka mwenyewe sio kitu kizuri.
Hata m-bibi anajisikia faraja kuitwa young lady...
Mbona vibabu hua vinaoa vibinti?Hiyo nadharia yako inabidi ichukuliwe kwa tahadhari ila nakubaliana na mada kua kuchelewa kuo ni changamoto sana,ni vizuri ikiwezekana tuoe tukiwa na miaka 25 kwa me na kwa ke kuanzia miaka 18.Kwa tamaduni na mazingira ya kiafrika yalivyo ukishafika miaka 33+ ni vigumu sana kupata mwenza aliye sahihi hii ni kwa jinsia zote!
Kwa umri huo watu wa umri wako ambao wako available watakuwa ni wataraka au masingle mothers/fathers na waliokobuhu kwenye mahusiano kiasi kwamba hata kuumiza au kuumizwa hawaoni shida kabisa.
Labda ndio kikwazo? Unajua hata kwenye kuwekeza wale wasio-analyze saaana huwa wanafakiwa sana yaani wanajilipua!Sio kuitwa young lady, baby!
Ila nimeshangaa sana. Akili zote hizo hujapata hata wa kukuloga umuoe bila kupenda? Nakuweka kwenye maombi aisee.
Umejibiwa?Hivi kuna kitu gani special kuhusu walimu? Nisha-date mwalimu sijaona tofauti.
Labda ndio kikwazo? Unajua hata kwenye kuwekeza wale wasio-analyze saaana huwa wanafakiwa sana yaani wanajilipua!
Aliyechelewa kuoa na kuolewa anakuwa na miaka mingapi kwa mfano? Basi huyu ndugu yetu ameshazeeka sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atulie tuUnaogopa kuoa single mother lkn moto unawapelekea...[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anakuona
Understood.What doesn't kill you makes you stronger. Usiwaze sana juu ya kesho. Amini mtima wako, angalia furaha yako na ujilipue. Mtazamo wako leo, haukuwa hivi 10 yrs back na miaka 10 ijayo haitakuwa hivi. Umeshaambiwa hakuna anaetaka kuzeeka alone. Angalia quality ambazo miaka 30 ijayo hazitakusumbua.
Was it Maya Angelou aliesema marry someone who makes you laugh? Kwa sababu siku atakayoamua kuacha kukuchekesha you will have to take a hike. Hakunaga formulae za hizi mambo kaka.
Aliyechelewa kuoa na kuolewa anakuwa na miaka mingapi kwa mfano? Basi huyu ndugu yetu ameshazeeka sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atulie tu
Safari hii kwa gari,ndege,gari moshi au?Ebuuuh! Unataka kuoa tumia njia hii,safiri naye safari ndefu zaidi ya Siku 2 mkiwa safarini ,chunguza uvumilivu, kujali,usafi na lugha kati take na wewe na abiria wengine. Mrejeshe home iwapo hajakupa karaha basis huyo mtadumu KTK ndoa vizuri. Km kiuchumi hauko vizuri chagua kati ya 3 unaoona wanafaa,julisha ndg wanaokujali utapata chaguo linalokufaa.Mwisho yote huwezi omba Mungu atakuonesha mtakayewezana Amina.
Nikifika 35 nitamtafuta aisee [emoji32][emoji32]Ukifika umri kama wake miaka 35 huna mtu unaelala nae uchi kihalali inakuwa umechelewa