MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Kwaio mwanamke mwenye 35 ni gari ya mkaa [emoji54][emoji54] uwe na akiba ya maneno kama nakuona ambavyo inatokea kwako
Miaka 35 mwanamke jua linakuwa limeshaanza kuzama kbs.


Kama gari basi volkswagen bito
 
Ukitaka kujua thamani ya gari la mkaa, nunua Porsche Cayenne Turbo charger halafu ufanyie hiyo biashara ya kuuza mkaa.

Kama wewe gari la taka tafuta mwenzio wa kufanana nawe mtafurahia maisha balaa. Hakuna kitu kigumu kama njiwa kutaka kuoa ama kuolewa na eagle. Ni mateso tu bila chuki na maugomvi yasiyoisha.
Hamna mtu anataka kuoa gari ya mkaa
 

Na mwanamke akifika miaka hiyo huwa anakuwa kama gari ya taka haichagui mzigo
 
Mwanaume akija yeyote anakuwa amechagua. Mwanamke akiolewa na yeyote anakuwa gari la mkaa hachagui mzigo.

Tufanye umeshinda mkuu. Nimekuelewa sana.
Wanawake wakiitambua Nguvu waliyonayo mtapata shida sana aisee. Ongezeni juhudi kuwakandamiza. Leo ni siku ya mtoto wa kike duniani, najisikia kama sikanyagi ardhi vile hehehe (nakutania mwaya)
Mwanaume una choice ya kuoa hata ukiwa na miaka 70 unaweza kuchukua binti wa miaka 18
 
Na mwanaume je? Anakuwaje? Anachagua mzigo?
Mwanaume una choice ya kuoa hata ukiwa na miaka 70 unaweza kuchukua binti wa miaka 18
Aisee....
 

Hamna mwanamke asiyetaka kuolewa huo ndio ukweli


Mwanamke ana nguvu kwny haya masuala ya kuolewa


Mm nina dada yangu mmoja kaolewa mwaka huu alikuwa anafikisha 36 kila siku tulikuwa tunaomba ajitokeze mbabe mmoja wa kivita amchukue akatokea jamaa mmoja wa mkoani huko tukamwambia mahari ubani tu mchukue mwenzio mkayajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…