HahaIvyo eeh? Basi sawa
Hivi wanaume wa hivyo watu hukutana nao WapiiUnabahati mbaya tu
Mmh.Amen
Lile jibu langu ni kiboko ya wanaume... 'Sawa' milele hutosikia kuna ugomvi kwenye familia....
AbeeeeeeeeMmh.
Hujaona alie kuita ndo na mimi apaWewe na nani?
Ni kama mimi shost. Mwanaume mwenye mtoto anipishie mbali tu kwa kweliMimi cha kwanza sitaki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto we mungu nisaidie,
--sitaki kuolewa na mwanaume chini ya miaka 27
--sitaki kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma ee mungu nisaidie.....
Lkn bado sijaona sababu ya mimi kuolewa coz kwangu siyo lazimaa
Sikukuita lakini..[emoji3]Abeeeeeeee
Ha ha haaaaAisee pacha mbona mnaniitaita sana huku af nikija mnauchuna[emoji57] [emoji57]
Yaniii nitabu sanaa kila akimmisi wakapashe kiporo utasikia naenda kumsalimia mtoto....[emoji35] [emoji35] [emoji35] shubaamutNi kama mimi shost. Mwanaume mwenye mtoto anipishie mbali tu kwa kweli
Najua hukuniita ila najuua unanihitajiSikukuita lakini..[emoji3]
Twende home basi..Najua hukuniita ila najuua unanihitaji
Mara nyingi hufuata ngwala za kwenye six na mara nyingi hua mnakua chapa chapa hapo kati kana kwamba mkwara ndo maandalizi yenyewe.Amen
Lile jibu langu ni kiboko ya wanaume... 'Sawa' milele hutosikia kuna ugomvi kwenye familia....
SawaTwende home basi..
EeehMara nyingi hufuata ngwala za kwenye six na mara nyingi hua mnakua chapa chapa hapo kati kana kwamba mkwara ndo maandalizi yenyewe.
Sijui upande wako
Nakuona ujueAisee
Acha tu hua inatokea mtu ukawa na bahati kila ukutanae afadhali ya aliepitaHivi wanaume wa hivyo watu hukutana nao Wapii