MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Mimi cha kwanza sitaki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto we mungu nisaidie,
--sitaki kuolewa na mwanaume chini ya miaka 27
--sitaki kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma ee mungu nisaidie.....

Lkn bado sijaona sababu ya mimi kuolewa coz kwangu siyo lazimaa
Ni kama mimi shost. Mwanaume mwenye mtoto anipishie mbali tu kwa kweli
 
Amen
Lile jibu langu ni kiboko ya wanaume... 'Sawa' milele hutosikia kuna ugomvi kwenye familia....
Mara nyingi hufuata ngwala za kwenye six na mara nyingi hua mnakua chapa chapa hapo kati kana kwamba mkwara ndo maandalizi yenyewe.

Sijui upande wako
 
Back
Top Bottom