Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Huo ni uzushi sema tu unaogopa kulea mtoto wa mwenzioYaniii nitabu sanaa kila akimmisi wakapashe kiporo utasikia naenda kumsalimia mtoto....[emoji35] [emoji35] [emoji35] shubaamut
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uzushi sema tu unaogopa kulea mtoto wa mwenzioYaniii nitabu sanaa kila akimmisi wakapashe kiporo utasikia naenda kumsalimia mtoto....[emoji35] [emoji35] [emoji35] shubaamut
Yupo busy
HahahaAcha tu hua inatokea mtu ukawa na bahati kila ukutanae afadhali ya aliepita
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh
Usiku mwema
Nimeona unabadili mwelekeo bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona ghagla hivi ila usingizi mwema na kwako
Hujawai piga mkwara mzito mpaka akahofu baadae ukaomba mcheze?Aisee...
Naona unanionaNakuona ujue
Namii nimeona ngoja ntangulie kulala basiNimeona unabadili mwelekeo bhana
AiseeNaona unaniona
Wasalimie....Namii nimeona ngoja ntangulie kulala basi
Sawa ila hujajibu swali kuhusu mdogo wakoWasalimie....
RRONDO ukuje ufunge uzi wako sasa!!!
Sawa umri huu nimelea watoto wa watu wangapi??? Na kwanini nileee wqtoto wa mwanamke mwingine kwani ninakasoro ganiii........Huo ni uzushi sema tu unaogopa kulea mtoto wa mwenzio
Nakumiss mdogo wangu..Sawa umri huu nimelea watoto wa watu wangapi??? Na kwanini nileee wqtoto wa mwanamke mwingine kwani ninakasoro ganiii........
Nimeshakujibu Manga... Yupo busy tuuSawa ila hujajibu swali kuhusu mdogo wako
Kasoro huna ndo mana ukawa chaguo la mwenye mtoto akaachwa alie naeSawa umri huu nimelea watoto wa watu wangapi??? Na kwanini nileee wqtoto wa mwanamke mwingine kwani ninakasoro ganiii........
Nikajua pekee yangu sema sii wengine domo zetu sijui zinashombo nimekhofu kumwambiaNakumiss mdogo wangu..
Hahaha [emoji3][emoji3][emoji3]Nikajua pekee yangu sema sii wengine domo zetu sijui zinashombo nimekhofu kumwambia
Ndiyo nimeshasema sitaki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto.... Kwani wanaume ambao hawana watoto wameisha??? Mbn wapo wengi Sana'aKasoro huna ndo mana ukawa chaguo la mwenye mtoto akaachwa alie nae
Kulea mtoto wa dada na wa mume havifanani ujue