Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Acha udaku wewe...
Mimi badobadoKwani wewe bado? Umefukua kaburi
Nasubiri nijipateUnasubiri nini?
Utajioa. Shauri yako.
UsijaliSawa, siku ikifika nitumie kadi ya mchango
Bila shaka hii project ilishakamilika.Habari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;
1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.
2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.
3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.
Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Jambo jema kama ilimalizika salama.Siku zinakimbia. Imeisha mkuu.
Kuna nafasi 3 wazi hapa kwangu..Siwezi kukosa wa kunioa! Kabla sijaingia 25 mtu atachukua jiko
Nafasi 3 za nini?Kuna nafasi 3 wazi hapa kwangu..
Karibu sana[emoji2]
Za kuoa (wake)Nafasi 3 za nini?