MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Sawa umri huu nimelea watoto wa watu wangapi??? Na kwanini nileee wqtoto wa mwanamke mwingine kwani ninakasoro ganiii........
Kasoro huna ndo mana ukawa chaguo la mwenye mtoto akaachwa alie nae

Kulea mtoto wa dada na wa mume havifanani ujue
 
Kasoro huna ndo mana ukawa chaguo la mwenye mtoto akaachwa alie nae

Kulea mtoto wa dada na wa mume havifanani ujue
Ndiyo nimeshasema sitaki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto.... Kwani wanaume ambao hawana watoto wameisha??? Mbn wapo wengi Sana'a

Siku zote furaha haipatikani kwa mtu mwingine bali inatokana na wewe mwenyewe....
Najua mungu Yuko upande wangu ninawangu mwenyewe niliye pangiwa na munguu... Hata km chongoo ilimradi asiwe na mtoto...[emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…