Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Umenifanya nianze kulia upyaaaaExpossure ilimkosesha Heaven Sent mume, angekuwa mrs RRONDO sasa hivi lol[emoji85] [emoji85] [emoji85]
RRONDO you see????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifanya nianze kulia upyaaaaExpossure ilimkosesha Heaven Sent mume, angekuwa mrs RRONDO sasa hivi lol[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kumbe mdogo wangu!! Haya nipe shikamoo yangu.btn 30-35
Weee umcharge mahari nyingi afu anikache tena?Naona mmeanza vyema, sipatii picha RRONDO ndio anakuwa mkwe wangu, ajiandae na hiyo mahari nitakayomkomoa nayo.
Hapo kunyonya kamasi nimekupa salute aisee shikamooooo
Mi mwanangu tu nilishindwa na yalikuwa yamemkaba balaa, nikafumba macho nikayavuta Halafu mbio kwenda kutema na kusukutua
Hapana, am a mother of many.Na wewe ni single mom??
Hahahaaa! Eti ulemavu!!Thank you for appreciation BINTIYAZA
unajua aina ya watu kama huyo jamaa ndio wanaotuharibia wanawake, sasa hapo kupata uto tu binti tuwili out of desperation basi ndio ameona wanawake wote mchawi wao pesa tu.
Ulemavu huo!
But sometimes, Age has nothing to do with maturity, right?Ndio, 26 bado mdogo. Vijana wengi wanachelewa kukua(mentality) miaka hii.
I prefer 28++
Kama mie ule uzi wa "msimamo wangu" ndio kati ya nyuzi zangu unaoongoza kwa kufukuliwa.Duh no comment. That thread will haunt me for the rest of my JF life!
Mkuu kati ya maeneo maishani yasiyo taka masihara,ni hili!Habari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;
1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.
2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.
3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.
Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
NnDah!!
Nakuja lakini sitaki ile tamu iwe chachu kidogo!Njoo uchukue mbege yako hapa
Kumbe mdogo wangu!! Haya nipe shikamoo yangu.
Haha ni tafrani tupuMweeeeh!! Mie utasikia olewa bwana,mara oooh bora wewe haujaolewa na usiolewe, kesho tena unashauriwa kuolewa. Huwa nawaitikia tu kila ushauri hata sitii neno.
Mbona haujibu pm zangu!!Kisicho riziki hakiliki hebu njoo na huku hapa hataniwi mtu
Wasema kweli... Sasa chachu sina kwa leoNakuja lakini sitaki ile tamu iwe chachu kidogo!
Amen..!Mkuu kati ya maeneo maishani yasiyo taka masihara,ni hili!
Ni vizuri sana kuweka sifa na vigezo vyako unavyo fikiri ndio zitakusogeza ktk kufurahia ndoa,lkn Mungu ndio namba moja!Sisi wakristo tunaamini kuwa mtu hupewa nyumba na urithi na babaye lakini mke mwema hupewa na Mungu.
Kumbuka hakuna hata binadamu aliyekamilika ispokuwa Mungu pekee!
Asante mkuu kwa compliment, mambo vipi lakini?Akili kubwa hii Mkuu, hongera sana.
Nice answer.Inawezekana hatuchagui sana sema kuna limited options......I'm not perfect but maybe i'm limited edition!