MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Kila la heri Mkuu umeshaweka nia ya kumpata mwenzi, hivyo jipe muda wa miezi 12 hadi 18 kuwa na mchumba mtarajiwa.

Inawezekana hatuchagui sana sema kuna limited options......I'm not perfect but maybe i'm limited edition!
 
Mimi changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni kwamba chura nyingi ni za kichina![emoji58][emoji58][emoji58]......kwa mpenda chura kama mimi hiyo imekuwa ni changamoto kubwa!
 
hahahahahahahaha lol! ungekumbuka utotoni tu kulamba kamasi mbele kwa mbele 🙂🙂 nimecheka sana kwi kwi kwi kwi hukupiga mswaki kapeace?
Yaani we acha tu hata kumeza manii siwezi aisee, si kwamba nina kinyaa kivile lkn kuna vitu vingine mh sio
 
Habari za jumatatu,

Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.

Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;

1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.

2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.

3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.


Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Ni bora kuoa mdada mwenye mtoto kuliko asiye na mtoto
 
Mimi changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni kwamba chura nyingi ni za kichina![emoji58][emoji58][emoji58]......kwa mpenda chura kama mimi hiyo imekuwa ni changamoto kubwa!
Ha ha ha ha wewe mwehu hujawahi kuwa serious! Anyway hivi mwehu huwa anakuwa serious?🙁
 
Imagine marafiki wa hao wachumba zake wakiona shost zao wako na lipedeshee wanaonaje!! na wasichana walivyokuwa rahisi kuongozwa na mob psychology! Si watakuwa wanaota tu na wenyewe wapate lipedeshee hata kama lina umri wa babu yao
Kati ya mambo yalonifanya niache kuhubiri pesa humu ni hilo mkuu. Kumbe kuna watu wanachukulia mambo humu very serious!! Kiranga komo!!
 
Mbona alishusha vigezo akasema hata kama unacho kimoja uende tu, bado ukadengua!! Umegandana na kina Bonny na Benny tu misheni town hata hmpigi hatua tangu enzi za mfalme herode! Changamka basi hapa naona kumeshakucha.
Haha mbona Mfalme Herode. Niulizie basi kama naruhusiwa kwenda upya, niapply tena
 
Hapo kunyonya kamasi nimekupa salute aisee shikamooooo
Mi mwanangu tu nilishindwa na yalikuwa yamemkaba balaa, nikafumba macho nikayavuta Halafu mbio kwenda kutema na kusukutua
Hata dada yangu alikuwa hawezi, mie ndio nilikuwa nafanya hilo. My friends kids pia nafanya tu sioni taabu.
 
Back
Top Bottom