Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Zali la mentali limekuangukia mkuu.Kama sijaelewa vile.... Nieleweshe hebu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zali la mentali limekuangukia mkuu.Kama sijaelewa vile.... Nieleweshe hebu
Kabisa yaani... Sema Umesahau tuu mwaya!! Ila asante nilijifunza piaHivi mimi huyu huyu nilekufungulia thread huwa nakufokea mpaka unaniogopa?!
Misssakayo .rrondo ni kijana mzuri sana nje na ndani.usipoteze hiyo bahati nakuambia
tatizo la rrondo ni moja .anajua kila kitu.ujue mwanaume mshamba ana raha yake eeh? sasa rrondo sio mshamba hapo inaitaji ujanja wa ziadaZali la mentali limekuangukia mkuu.
HahahaZali la mentali limekuangukia mkuu.
sasa hivi umeolewa?Miss
Hakusema mapema ujue, nilikuwa single muda kweeli!!!
Hutakuta mtuu, kwanini ujisumbue mi jizee langu linanileaa[emoji4] [emoji12] [emoji12]Kwa kucheka huko natangaza nia mchana kweupe, naja inbox
Habari za asubuhi mkwe wangu![emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe hapo ulonigombezea mtoto!Mnaongea na mimi au mnaongea na simu?
HahahahaFukua kaburi...
ShkamoHabari za asubuhi mkwe wangu!
Bado kidogosasa hivi umeolewa?
Sasa hapa circle ipi unaongelea mkwe(hope mmefikia pazuri na hs nianze kukuita mkwe)Hivi unajua unaweza kumuona mwanamke yuko single ila kumtoa kwenye circle fulani inakuwa zoezi? Ndio case ya Sakayo 🙂🙂🙂
Akikujibu niiteSasa hapa circle ipi unaongelea mkwe(hope mmefikia paxuri na hs nianze kukuita mkwe)
Cc Heaven Sent Nalendwa
mwanamke kama hujaolewa wewe ni single.unatema bigjii kwa karanga ya kuonjeshwa sio?Bado kidogo