Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Dah kumbe hunipend ntaanza kuota vipele mwili mzima nishindwe kutypeNaomba hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kumbe hunipend ntaanza kuota vipele mwili mzima nishindwe kutypeNaomba hela.
afadhali maana kuna mtu nahitaji ahamie hapo kwako.Wewe kumbuka af bakia nacho mwenyewe mie hata usinisingizie kama bado uko jiran acha nihame mtaa
Hiv umeshaolewa dada wa hiyar maana namuna wife material anakuja kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiUsijali
Mie mara ya mwisho kuomba hela nilikuwa na miaka mitano, Nakumbuka niliomba sh tano.... Nilichapwa viboko visivyo na idadi na Mamangu.... Kuanzia hapo Sijawahi omba teeeenaa mtu hela
Ha ha ha ha ha atahama kama mim tuafadhali maana kuna mtu nahitaji ahamie hapo kwako.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha ha ha ha ha wewe haujawah kuolewa na haujawah kuwa single ndio uzur wako
Umeelewa nini sasa?Kumbe ndio maan!! Sasa nimeelewa. [emoji125] [emoji125]
Kuna namna sio bure aisee nikja kumkuta barabarn anahubir bas mie mbinguni ntakuwa nshafika asieeNa kweli, siku hizi anasali kweeli
Haha yani unanikataa kijanja ila still unanisingizia mimi eti nilikupa kibuti, ningeanzaje mimi na uhenga wote huu bado nagendaheka tu? Afu sielewi vya kuniita "mtoto" ujue, au ndo kuninyima kwenyewe?Wewe mama unataka mahari tu...huyo mtoto mimi kashanipiga kibuti nimeshindwa kushindana na wale vijana....
Ahaa mzee familia ilimuacha kwenye mikono yako ila baada ya hapo hatujui nin kiliendelea mzeeHaha yule mdogo wangu sijui kilimpata nini bwana
Ha ha ha usikimbie njoo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio bure, kuna namna. Atueleze tu ni binti gani katenda huu muujiza humu ndani. Nasoma comments kwa umakini hata niunganishe dots zimegoma[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nipe hela.Dah kumbe hunipend ntaanza kuota vipele mwili mzima nishindwe kutype
Hallelujah
Tulia mama mbona kama una roho mbaya namna hyo mwanao mwenywe kardhika na maisha haya wewe unataka kitchen party tu hapo upewe vyombo vya uzeen
Heaven Sent hiv upogo aiseee
Kaka wa hiari jamaniHiv umeshaolewa dada wa hiyar maana namuna wife material anakuja kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiii
Dah nikisema una roho mbaya unakataaNipe hela.