MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Usijali
Mie mara ya mwisho kuomba hela nilikuwa na miaka mitano, Nakumbuka niliomba sh tano.... Nilichapwa viboko visivyo na idadi na Mamangu.... Kuanzia hapo Sijawahi omba teeeenaa mtu hela
Hiv umeshaolewa dada wa hiyar maana namuna wife material anakuja kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiii
 
Wewe mama unataka mahari tu...huyo mtoto mimi kashanipiga kibuti nimeshindwa kushindana na wale vijana....
Haha yani unanikataa kijanja ila still unanisingizia mimi eti nilikupa kibuti, ningeanzaje mimi na uhenga wote huu bado nagendaheka tu? Afu sielewi vya kuniita "mtoto" ujue, au ndo kuninyima kwenyewe?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio bure, kuna namna. Atueleze tu ni binti gani katenda huu muujiza humu ndani. Nasoma comments kwa umakini hata niunganishe dots zimegoma[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Haha
Zikijiunga nitonye!!!! Seriously amebadilika
 
Back
Top Bottom