Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?


Ni either wewe sio straight or hao madaktari are no straight, hili andiko uliloandika sijui lishe, uchafu bla bla ni la hovyo.
 
Pole sana dokta wa Mchongo nliishapona na kusahu, ilo lilikua sio tatizo bali ni ugonjwa wa Ngozi na nlipewa dawa kwa wiki 3 tu nikawa nimepona nashauri ukasome tena issue za scabies

Lilikua jibu la @ Bulamba
 
Ni either wewe sio straight or hao madaktari are no straight, hili andiko uliloandika sijui lishe, uchafu bla bla ni la hovyo.

Pole mr kanjanja Bandiko
La kitambo sana na nimeishapona na kusahau
 
Upo sahihi 100%
Pole mr kanjanja Bandiko
La kitambo sana na nimeishapona na kusahau
kaka ulipona kwa dawa zipi mana ata mm na tatizo ilo
sis tuna tatzo ilo ka lako ila tuko mkoa wa mbali uku mabigwa wa ngozi hatuna tuna maduka ya dawa tuh nimepaka scaboma ila tatzo bado cjui sasa iyo dawa ya kidonge labda ndo labda ingekua msada vzr
 
ndugu samahani kwa picha iyo ila mwenzenu ilo ni tatizo ambalo lina nisumbua kwa mda mrefu ivyo ni vitu ambavyo ninavyo mda mrefu nimejaribu kupitia kwa wataharamu mbalimbali ila tatizo bado, 'mejaribu kupima kaswende na vvu ila ckua navyo., nika pigwa sindano 5 va mkononi ila tatzo likawa bado nkaja shauliwa ntumie bbe na vidogonge vya ayclovir nayo havikusaidia na nkapata ushauli ntumie lotion ya Scaboma nimepaka kopo limeisha sasa bado havijakauka' ndugu zangu nawatumaini nyinyi kwa msaada Na Mungu tuh hadi nlipofikia ila ukweli nimeangaika naro sana ili swala.picha ya sehemu ya tatzo iyo hapo. msaada wenu jaman
 

Attachments

  • image.jpg
    2.1 MB · Views: 97
bro tumia scaboma ya cream asubuh na jion oga na maji ya moto ndo upake hiyo scaboma ila matokea ni baada ya mwezi haviponi haraka ila usikate tamaa maana scaboma haina madhara wewe tumia hata zaid ya miez miwili maana mimi nilikuwa navyo ndani ya miaka 2 lakini nimepona
 
Atafute hiyo scaboma lotion......atapona kabisa....then azingatie usafi Ila pia acheki matatizo mengine like fungus au atumie aciclovir tablets.......Mimi vilinisaidia nikaondokana na hilo tatizo kabisa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
2021 - nilinyetuka mwaka mzima
2022 - nilinyetuka mwaka mzima
2023 - nitanyetuka mwaka mzima
 
Kaka habari vipi tunaomba mrejesho tujifunze kitu hapa hii changamoto ulipata tiba na ulishapona?
 
Pole sana vipi ulipata tiba
 
thanks sana kaka nashukuru kwa msaada oko bado natumiaa scaboma naona kidogo unafuu
Pole sana vipi ulipata tiba
ndio kaka nilianza tumia scaboma kidogo bali imekua nafuu ila bado
Kaka habari vipi tunaomba mrejesho tujifunze kitu hapa hii changamoto ulipata tiba na ulishapona
 
kaka nashukuruni sana kwa msaada enu,nashukuru Mungu vimekauna tatzo lilikua kwel ni scabies ,wamenitesa mwaka mzima na saiv nimepona kabisa vimekauka byote
 
kaka nashukuruni sana kwa msaada enu,nashukuru Mungu vimekauna tatzo lilikua kwel ni scabies ,wamenitesa mwaka mzima na saiv nimepona kabisa vimekauka byote
bado endelea kutumia usiache maana vina tabia ya kurudi hakikisha hali yako imerudi kama mwanzo hapo hata kama utatumia mara moja kwa siku sio mbaya
 
bado endelea kutumia usiache maana vina tabia ya kurudi hakikisha hali yako imerudi kama mwanzo hapo hata kama utatumia mara moja kwa siku sio mbaya
Nashukuru sana ndugu yangu kwa msaada mzur Mungu akupe maisha marefu.,naatafanya ivyo na kesho naenda nunua ile cream ya scaboma tena naona imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…