Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Gono hiyo,nenda hospital watakuandikia Sindano. Na wasiliana yule uliyegusishana nae vikojoleo nae atibiwe.Na yeye awasiliane na wote aliolala nao.Inapona hiyo.Sema baada ya miezi mitatu ukapime na ngoma.
Aisee.

Kumbe kuna magonjwa ya ajabu ya ngono kama hii. Mimi kuugua kwangu ni UTI tu.

Utakuta aliyemuambukiza lina sura mbaya hata yeye mwenyewe anaona aibu kwenda naye kwa daktari.
 
Anyway Habar wakuu

Nimetoka na vipere kwenye uume baada ya siku chache nilipofanya ngono zembe naombeni msaada wenu utakuwa ugonjwa GANI wakuu?

Unapokwenda kwa Dr uwe na vielelezo, hapa bila picha utatibiwa mafungumafungu
 
baharia 1 watu huwa wanaenda hospitali kwa maelezo na tiba sahihi wewe unakuja huku ili iweje sasa, Ukishaambiwa dawa ndio utakunywa pasipo ushauri wa Dr your so damn fool man na uache ngono zembe boya wewe
Labda uchumi si mzuri, anajaribu kubana matumizi ikishindikana ndio itabidi atafute pesa aende hospitalini.
 
Aisee.

Kumbe kuna magonjwa ya ajabu ya ngono kama hii. Mimi kuugua kwangu ni UTI tu.

Utakuta aliyemuambukiza lina sura mbaya hata yeye mwenyewe anaona aibu kwenda naye kwa daktari.
Kwa nini unauza mechi?Hivi inakuaje mpaka unamwamini mwanaume au mwanamke hadi unakulana nae nyama kwa nyama?Wallah siwezi hata kwa nini.Sasa UTI siku utaambukiwa HIV utamlaumu nani?
 
Huyo akamwone Dr ,si fungas hiyo.Akapimwe mkojo by PCR .Apimwe damu pia ili kujua ni Kaswende ama la.Majibu yakitoka atapewa dawa sahihi. Kwa maelezo yake si fungas
Akipona ajifunze matumizi sahihi ya kondomu , utamu wa dk 5 , unakuvua utu , kitendo cha kushinda kwa madaktari unaonesha mkuyenge umejaa mapere kama jabulani
 
Back
Top Bottom