Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Unapata vipele kwenye kiwiko(kipepsi)? Luna vipele vidogovidogo vidoleni? Unawashwa Sana usiku ukilala? Unasikia vitu kama vinakutembea mwilini? Kuna saa unawashwa kiunoni?

Kama unapata his dalili nijibu nikuelekeze dawa pharmacy.. Zinauzwaga 8,000 -10,000( elf nane hadi elf kumi)
Tuelekeze
 
Play safe wazee kam unataka kavu kwann usipime
Kupima tu haitoshi,kikubwa ni kuepuka ngono kwa watu tusio na taarifa nao vyema,huwezi kupima maradhi yote ukapata majibu kwa wakati,siku izi hata UTI inaambukiza kwa ngono,warts ,herps,homa ya ini,yani unaweza kutumia kinga ila ukatoka na warts za kwenye mapumbu ,kazi bureeee

Play safe
 
Unapata vipele kwenye kiwiko(kipepsi)? Luna vipele vidogovidogo vidoleni? Unawashwa Sana usiku ukilala? Unasikia vitu kama vinakutembea mwilini? Kuna saa unawashwa kiunoni?

Kama unapata his dalili nijibu nikuelekeze dawa pharmacy.. Zinauzwaga 8,000 -10,000( elf nane hadi elf kumi)
Nimeona hata mm unaweza nisaidia Leo ingawaje Uzi wakitambo
 
Umepona? Kama hujapona na una hizo dalili alizoorodhesha mchangiaji unayemjibu hapo juu hiyo ni scabbies. Tafuta lotion hii upake kila baada ya kuoga
IMG_4327.jpeg
 
Unapata vipele kwenye kiwiko(kipepsi)? Luna vipele vidogovidogo vidoleni? Unawashwa Sana usiku ukilala? Unasikia vitu kama vinakutembea mwilini? Kuna saa unawashwa kiunoni?

Kama unapata his dalili nijibu nikuelekeze dawa pharmacy.. Zinauzwaga 8,000 -10,000( elf nane hadi elf kumi)
Bulamba nilikuwa namshauri atumie scaboma kama ana dalili hizi.
 
Back
Top Bottom