Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Inategemea unaishi wapi.

Sisi tunaoishi uswahilini, tunaokwenda kupata ulabu kwenye baa za kawaida unaweza ukawa unakwenda washroom za kiume unakuta aliyetoka alikuwa na UTI akashika mlango ama kitasa cha mlango na wewe unafungua mlango kwa kutumia mikono kweli utakosa kuugua UTI.
UTI mnakuwa mna dalili zipi?
 
Pole sana. Picha nimeona na mapele vivyo hivyo.

Ila ni ngumu kusema, ungepaswa kuambatanisha na dalili nyinginezo. Je, zinawasha? Unapata maumivu wakati wa kukojoa? Unaenda uani mara kwa mara?

Hivyo vipele vimekuanza lini? Vinaongezeka!? Vinapasuka baada ya muda?

Pole sana.
 
Pole sana. Picha nimeona na mapele vivyo hivyo.

Ila ni ngumu kusema, ungepaswa kuambatanisha na dalili nyinginezo. Je, zinawasha? Unapata maumivu wakati wa kukojoa? Unaenda uani mara kwa mara?

Hivyo vipele vimekuanza lini? Vinaongezeka!? Vinapasuka baada ya muda?

Pole sana.
Nakojoa vizuri kama kawaida tuh situmii leo vina siku ya 4 yaan inshort nibipere havina maumivu yoyote
 
Sorry haujisikii homa kwa mbali? Kama unahisi homa na uchovu, hiyo itakuwa Genital Herpes.

Go and see your doctor for more examinations!
 
Gono hiyo,nenda hospital watakuandikia Sindano. Na wasiliana yule uliyegusishana nae vikojoleo nae atibiwe.Na yeye awasiliane na wote aliolala nao.Inapona hiyo.Sema baada ya miezi mitatu ukapime na ngoma.
Hii list itakuwa ndefu sana😂
 
Dogo hahudhurii vikao, hasomi nyuzi za watu wenye upeo mkubwa , haombi kwetu ushauri. Ndo maana anapatwa na majanga kama hayo. Angekuwa anahudhuria vikao zamani angeshakuwa yupo ok. Na pia asingefanya hiyo nini zembe. Tulishatoa mwongozo kama upo sehemu hakuna condom nunua ice cream ya ukwaju au yoyote ile. Kula ice cream kile kimfuko vaa. Au kama unaona nayo ni ngumu ukishamaliza mchezo nawa kwa petrol au mafuta ya break na kama inahisi demu ana ngoma nawia maji ya battery ndani ya saa moja baada ya kitendo.

Lakini kama huwezi mwandaa mwenzio akapata utelezi basi tumia grease inakuepusha na magonjwa pia.
Jamaa hayupo serious kabisa. Unaweza kuta akapuuzia haya madini.
 
Habari za leo, nimeona thread yako na nimelazimika kukutafuta,
Ugonjwa ulio kupata nami umeipata, militaka kujua ulipona kwa kutumia dawa gani?
 
Back
Top Bottom