Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Wakuu samahan kw huu ugonjwa w scabies nmepewa daw y kupaka inaitwa BBE Je naweza kupaka kwenye uume
 
Hellow guys vipi Kuna muusika alieugua huu ugonjwa akapona atuambie alitumia dawa gani mana sio powa🥺
 
Hellow guys vipi Kuna muusika alieugua huu ugonjwa akapona atuambie alitumia dawa gani mana sio powa🥺
huu ugonjwa nmeugua week mbili zilizoisha..
nliogopa sana nkijua ni magonjwa ya zinaa , nlikuja kujua ni scabbies nkatumia scaboma na vdonge vya ivermestrin..
kwa sasa nmepona kabisa japo nlipoenda hospital ugonjwa haukuonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…