Sijaelewa unaposema mapato yao hayana faida yeyote kwa nchi, jamii Zaidi ya kuwaumiza tu wananchi.
Kwa nini nimesema hivyo: Hawa madalali wanasomesha, wana familia zinazowategemea n.k. Nadhani hao wote wanafaidika na vipato vya hawa madalali. Nchi inaweza kufaidika na vijana wanaosomeshwa na hawa madalali kwa namna moja au nyingine, kwani wanaweza kuja kulitumikia taifa au kuja kulipa kodi kutokana na shughuli zao watakazokuja kuzifnya.
Hawa wasingejiajiri kwa kuwa madalali pengine wangekuwa omba omba barabarani ambao tunawapiga vita kila siku; pengine pia wangeweza kuwa majambazi (Hasara kwa taifa); Au wangekuwa wanaendelea kuilaumu Serikali kwa kutotoa ajira.
Nafikiri suala la muhimu ni kuboresha/kurasilimisha shughuli zao tu
Hakuna sheria ya namna hiyo sema anakuwa anapenda, watu kibao wanapangisha bila madalali, hata national housing wanapangisha bila madalali.Ukienda kwa mwenye nyumba direct hakubali...anakuambia madalali watamletea shida
Ni kweli mkuu, inawezekana kiwangi ni kikubwa. Na hapo ndipo napoona kuna haja ya kurasimisha shughuli zao ili kuweka mambo yote hayo ikiwemo ya bei n.kUmeeleza vizuri kwa mtazamo wako,
lakini kiwango wanachotoza ni kikubwa mno na kuna harufu ya utapeli pia
we lazma utakua dalaliSijaelewa unaposema mapato yao hayana faida yeyote kwa nchi, jamii Zaidi ya kuwaumiza tu wananchi.
Kwa nini nimesema hivyo: Hawa madalali wanasomesha, wana familia zinazowategemea n.k. Nadhani hao wote wanafaidika na vipato vya hawa madalali. Nchi inaweza kufaidika na vijana wanaosomeshwa na hawa madalali kwa namna moja au nyingine, kwani wanaweza kuja kulitumikia taifa au kuja kulipa kodi kutokana na shughuli zao watakazokuja kuzifnya.
Hawa wasingejiajiri kwa kuwa madalali pengine wangekuwa omba omba barabarani ambao tunawapiga vita kila siku; pengine pia wangeweza kuwa majambazi (Hasara kwa taifa); Au wangekuwa wanaendelea kuilaumu Serikali kwa kutotoa ajira.
Nafikiri suala la muhimu ni kuboresha/kurasilimisha shughuli zao tu
Sio la kuuliza hilo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we lazma utakua dalali
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kwa kumsaidia zaidi ni kuwa katika dunia hii huwezi kuukwepa udalali. Hata huko nchi zilizoendelea ni udalali ndio unafanyika kama kuuza wachezaji Akina Lukaku, Pogba, Ronaldo......hata makocha kuna madalali wanawauza. so inachotakiwa tu hawa wa kwetu watambulike kisheria na wawe na ofisi. Fikiria wewe ni mgeni dar umetoka mkoa. Ni nani atakusaidia kupata au kutafuta nyumba au kujua nyumba iliyo empty. Au kufahamu nani anauza gari, shamba au kiwanja.Sijaelewa unaposema mapato yao hayana faida yeyote kwa nchi, jamii Zaidi ya kuwaumiza tu wananchi.
Kwa nini nimesema hivyo: Hawa madalali wanasomesha, wana familia zinazowategemea n.k. Nadhani hao wote wanafaidika na vipato vya hawa madalali. Nchi inaweza kufaidika na vijana wanaosomeshwa na hawa madalali kwa namna moja au nyingine, kwani wanaweza kuja kulitumikia taifa au kuja kulipa kodi kutokana na shughuli zao watakazokuja kuzifnya.
Hawa wasingejiajiri kwa kuwa madalali pengine wangekuwa omba omba barabarani ambao tunawapiga vita kila siku; pengine pia wangeweza kuwa majambazi (Hasara kwa taifa); Au wangekuwa wanaendelea kuilaumu Serikali kwa kutotoa ajira.
Nafikiri suala la muhimu ni kuboresha/kurasilimisha shughuli zao tu
Shida gani, kwani nyumba si yake!Ukienda kwa mwenye nyumba direct hakubali...anakuambia madalali watamletea shida
Ulaya hamna madalali wale ni mawakala wanaotambulika kisheria kama ni hivyo basi watu wangekuwa wanakuja tu kariakoo kutafuta mchezaji. Mfano kina Mino Raiola, Jorge MendesKwa kumsaidia zaidi ni kuwa katika dunia hii huwezi kuukwepa udalali. Hata huko nchi zilizoendelea ni udalali ndio unafanyika kama kuuza wachezaji Akina Lukaku, Pogba, Ronaldo......hata makocha kuna madalali wanawauza. so inachotakiwa tu hawa wa kwetu watambulike kisheria na wawe na ofisi. Fikiria wewe ni mgeni dar umetoka mkoa. Ni nani atakusaidia kupata au kutafuta nyumba au kujua nyumba iliyo empty. Au kufahamu nani anauza gari, shamba au kiwanja.
Dalali, wakala......wote ni kitu kimoja. tofauti tu wale wanafanya kisheria na wamesajiliwa. Na hawa wetu wanafanya kienyeji........baadala ya kwenda Tigo ofisini kwao kutuma pesa unamtafuta wakala yaani mtu wa kati unatuma hela naye anapata cha juu chake kutoka tigo. Kifupi huyo ni Dalali. .....au baada ya kumfuata Ronaldo direct kumshawishi ahame unamfuata Dalali wake aliyeruhusiwa au mwenye leseni ya kumuuza. wakala ni Dalali. Na kazi yao na lengo Lao wote ni moja kupata cha juu. Yaani watu wa kati. Aka middle man.Ulaya hamna madalali wale ni mawakala wanaotambulika kisheria kama ni hivyo basi watu wangekuwa wanakuja tu kariakoo kutafuta mchezaji. Mfano kina Mino Raiola, Jorge Mendes
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Dalali, wakala......wote ni kitu kimoja. tofauti tu wale wanafanya kisheria na wamesajiliwa. Na hawa wetu wanafanya kienyeji........baadala ya kwenda Tigo ofisini kwao kutuma pesa unamtafuta wakala yaani mtu wa kati unatuma hela naye anapata cha juu chake kutoka tigo. Kifupi huyo ni Dalali. .....au baada ya kumfuata Ronaldo direct kumshawishi ahame unamfuata Dalali wake aliyeruhusiwa au mwenye leseni ya kumuuza. wakala ni Dalali. Na kazi yao na lengo Lao wote ni moja kupata cha juu. Yaani watu wa kati. Aka middle man.