Dalali, wakala......wote ni kitu kimoja. tofauti tu wale wanafanya kisheria na wamesajiliwa. Na hawa wetu wanafanya kienyeji........baadala ya kwenda Tigo ofisini kwao kutuma pesa unamtafuta wakala yaani mtu wa kati unatuma hela naye anapata cha juu chake kutoka tigo. Kifupi huyo ni Dalali. .....au baada ya kumfuata Ronaldo direct kumshawishi ahame unamfuata Dalali wake aliyeruhusiwa au mwenye leseni ya kumuuza. wakala ni Dalali. Na kazi yao na lengo Lao wote ni moja kupata cha juu. Yaani watu wa kati. Aka middle man.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya wakala na dalali
Wakala
1) anamwakilisha principal wake yaani yuko chini ya mkuu wake
2) Wakala analipwa na mkuu wake kwa "commission" kwa kazi anayoifanya. Example wakala wa vodacom m-pesa huwezi ukasema ni dalali. Huyu akifanya makosa na kusababisha hasara kwa mtu in course of the discharge of vodacom services ambazo voda anadirect touch voda atakuwa vicariously answerable..
3) kisheria constitutes "agent - principal relationship"
4) na principal wake anawajibika katika makosa yote yanayofanywa na agent wake in the course of that business kisheria.
4) Wala hakati kama wanavyofanya madalali.
Dalali (wa hapa bongo) tofauti na wale wanawakilisha taasisi zinazotambulika kisheria kama vile court brokers,
1) hawafanyi kazi chini ya principal yaani hawamwakilishi principal yeyote bali dalali anatokea kwake asubuhi anaingia mtaani.
2) Hawalipwi commission bali wanachukua kiasi kutoka kwenye malipo ya client for a service or commodity purchase by that client
3) Hawatambuliki kisheria
4) Hivyo wanajiamulia wao ...arbitrarily na unfairly...
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app