Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Poa mkuuNimezaliwa hapa jijini,nimesomea hapa level zote,kazi nafanyia hapa pia...
Poa mkuuNimezaliwa hapa jijini,nimesomea hapa level zote,kazi nafanyia hapa pia...
Sawa, huo ni mtazamo wako ngoja tu niuheshimuwe lazma utakua dalali
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Umefanya nyongeza nzuri katika mchango wanguKwa kumsaidia zaidi ni kuwa katika dunia hii huwezi kuukwepa udalali. Hata huko nchi zilizoendelea ni udalali ndio unafanyika kama kuuza wachezaji Akina Lukaku, Pogba, Ronaldo......hata makocha kuna madalali wanawauza. so inachotakiwa tu hawa wa kwetu watambulike kisheria na wawe na ofisi. Fikiria wewe ni mgeni dar umetoka mkoa. Ni nani atakusaidia kupata au kutafuta nyumba au kujua nyumba iliyo empty. Au kufahamu nani anauza gari, shamba au kiwanja.
Mkuu samahani kama nitasema vibaya. Lakini nadiriki kusema inawezekana hujatoka nje ya eneo ulilopo, lakini nchi nyingi zilizoendelea udalali ni moja ya shughuli rasmi.That's foolish idea jambazi akisema anasomeshea hela ya wizi kwa hiyo aruhusiwe tu kazi yao imerasmishwa hao wapelekeni kwenye sheria wafungwe tu msiwahurumie wakalime
Shamba,Nyumba na Nyumba,flem watu waweke kupatana bac dalali akauze mkaaa
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kweli ndugu yangu....kuna watu wanashindwa kujiongeza kabisa....Simple tu nenda muone mwenye mali na dalali kisha zunguka muone mwenye mali seaparate akileta pozi na yeye piga chini....usawa huu wa magu naona wanakhwa wapole tu
Sio Kweli mkuu, Dalali huwa anachukua kote kote, Labda Mwenye Chumba, ila Mtu mwenye nyumba kabisa, aisee hakatai, maana ana-savewenye nyumba wengi hawakubali,atakuambia kuna hela ya udalali lazima utoe ili awapoze siku nyingine wamsaidie kupata mpangaji...
Mkuu unaonekana kwenye essay za rise anf fall of western sudanic states ulikuwa vizuriSijaelewa unaposema mapato yao hayana faida yeyote kwa nchi, jamii Zaidi ya kuwaumiza tu wananchi.
Kwa nini nimesema hivyo: Hawa madalali wanasomesha, wana familia zinazowategemea n.k. Nadhani hao wote wanafaidika na vipato vya hawa madalali. Nchi inaweza kufaidika na vijana wanaosomeshwa na hawa madalali kwa namna moja au nyingine, kwani wanaweza kuja kulitumikia taifa au kuja kulipa kodi kutokana na shughuli zao watakazokuja kuzifnya.
Hawa wasingejiajiri kwa kuwa madalali pengine wangekuwa omba omba barabarani ambao tunawapiga vita kila siku; pengine pia wangeweza kuwa majambazi (Hasara kwa taifa); Au wangekuwa wanaendelea kuilaumu Serikali kwa kutotoa ajira.
Nafikiri suala la muhimu ni kuboresha/kurasilimisha shughuli zao tu
Jenga nyumba yako kuepuka madalali!Ukienda kwa mwenye nyumba direct hakubali...anakuambia madalali watamletea shida
ahahahah haya mkuuMkuu unaonekana kwenye essay za rise anf fall of western sudanic states ulikuwa vizuri
Kama inawezekana wasajiliwe, wapewe alama ya utambulisho,ili walipe kodi.
Kama ni nyumba zinatozwa kodi(property tax), magari nayo yanalipa kodi(road licence),kwa vile kodi inatozwa katika eneo hili, ni vyema mapato ya madalali yatozwe kodi.