Kupatana ndo tapeli namba moja..usijaribu.Kwa kweli madalali ni shida. Ila mda wao unakaribia kuisha.Tumieni KUPATANA achananeni na madalali.
hukuwapa hadhi ya chumba unachotaka.Hawa madalali sitaki kuwasikia kabisa 5000 zangu nyingi wamezila kwenda kunionesha nyumba mbovu balaa
Huwa nawaelezea kabisa ila ukifika kule longolongo zinaanzahukuwapa hadhi ya chumba unachotaka.
uhuru wa kutaka kitu kamili upendacho uko katika maamuzi yako.Heri yule uliyempa riziki yake akale kama wewe, huyo atakuita boss lakini vipi yule atakaye kufanya ununue kitu kimoja mara mbili?Huwa nawaelezea kabisa ila ukifika kule longolongo zinaanza
Mmh ni shidaUhuru wa kutaka kitu ka
uhuru wa kutaka kitu kamili upendacho uko katika maamuzi yako.Heri yule uliyempa riziki yake akale kama wewe, huyo atakuita boss lakini vipi yule atakaye kufanya ununue kitu kimoja mara mbili?
Wanalipa kodi kiasi gani kulingana na vipato vyao? Tatizo huangalii upande mwingine, hao hao madalali ndo wanaongezea wenzao mzigo wa maisha, mtu mmoja alipe kodi ya miezi 6 + udalali kodi ya mwezi mmoja, isitoshe huyo dalali hakuna mahali anakatwa income tax, huoni kuwa hiyo ni hasara kwa taifa?Sijaelewa unaposema mapato yao hayana faida yeyote kwa nchi, jamii Zaidi ya kuwaumiza tu wananchi.
Kwa nini nimesema hivyo: Hawa madalali wanasomesha, wana familia zinazowategemea n.k. Nadhani hao wote wanafaidika na vipato vya hawa madalali. Nchi inaweza kufaidika na vijana wanaosomeshwa na hawa madalali kwa namna moja au nyingine, kwani wanaweza kuja kulitumikia taifa au kuja kulipa kodi kutokana na shughuli zao watakazokuja kuzifnya.
Hawa wasingejiajiri kwa kuwa madalali pengine wangekuwa omba omba barabarani ambao tunawapiga vita kila siku; pengine pia wangeweza kuwa majambazi (Hasara kwa taifa); Au wangekuwa wanaendelea kuilaumu Serikali kwa kutotoa ajira.
Nafikiri suala la muhimu ni kuboresha/kurasilimisha shughuli zao tu
Huko tuendako wenye nyumba pia wajipange kutumia tu mitandao, maake hawa madalali wao uchwara wanaongeza tu gharama za maisha. Mi kuna mfanyakazi mwenzangu katapeliwa 3.6m hivi hivi na hao madalali.Huko hamna uhuni huu mkuu usidanganye wee kalime acha udalali,uvivu tu unawafanya hoo mi dalali
Na ukiangalia madakili wengi ni majambazi ili jamii iseme ni dalali kumbe hana lolote Mzee mzima eti dalali
Serikali itusaidie kutuondelea haya majizi yasiyopenda kufanya kazi ni kucheza draft tu na kushinda baa
Dalali ni matapeli ndugu yangu alishataoeliwa laki 9 mwaka juzi wakadanganya wanapangisha Nyumba
Jamii tukishijanana tutaondoa kikosi hiki cha kiuni mi nmeshaanza simpi dalali yeyote hela ya mwezi nampa kulingana navoona kazi yake.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Duh! yani unatoa 500k usawa huu bila hata kupewa risiti? kweli we ni wa kipekee. Unampaje dalali pesa yote hiyo? Nyie ndo mnawapa viburi hawa wahuni mjiniWatanzania watu wabaya sana
Pale Mlimani Vodashop kuna vijana wanasajili laini za simu, kaja mhindi wa watu kaulizia bei ya laini wakampiga 5000 tena wakikonyezana wakati laini ni 1000 tu
Tena wakamwambia aweke na vocha ya 5000
Mhindi wa watu bila kujua akatoa 10000 yake
Kuna Nyumba nilitafuta madalali wakataka piga cha juu, nyumba ya 450,000 wakanambia 700000 basi sababu nyumba ilikua nzuri nikalipa 700,000
Kumbe hawajamwambia mwenye nyumba kuhusu hilo dili
Nikalipa hela mwenye nyumba akanipa mkataba zaidi ya muda niliotakiwa kaa pale
Hata wao kwa wao madalali mmoja akawazunguka wenzake badala ya niwape 700000 akasema niwape 500,000 afu 50,000 nimtumie yeye wakagawana hiyo mie nikasepa
Madalali hasa wa nyumba na magari wengi na watu walio wavivu kufikiri, hawapendi kujishughulisha, watu wanaopenda mteremko....huo ndo ukweli mchunguBaba yako angekua dalali usingepost ushuzi kama huu.
Big head thinner brain
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Hatuwezi kuwa kwnye nchi ya watu wanaojielewa halafu swala nyeti kama makazi likawa holela holela tu. Lazima tuwe na sheria za kudhibiti hili. Nyumba ni moja ya mahitaji ya muhimu kwa binadamu, hatuwezi kuacha soko liwe huru 100% kama bidhaa nyingine1. Kila mtu mzima mwenye akili timamu ana uwezo na utashi wa kuamua kutumia huduma au kuacha. Hii inahusika pia na kwenye huduma ya udalalali.
2. Sheria zilizopo zinatosha kabisa kushughulika na madalali. Hakuna sababu ya kuanzisha urasimu mwingine, kwani huko ni kuongeza ukubwa wa serikali kusiko kwa lazima.
3. Sera za Ruksa (Small governments, individual responsibilities and freedoms) mara nyingi huhusika na maendeleo.
Ronald Reagan Quotes
Kupatana ni mtandao tu, kama ilivyo Instagram, sasa wamekutapeli aje? Istoshe, kupatana wamesajiliwa na serikaliKupatana ndo tapeli namba moja..usijaribu.