Mjadala: Nini kifanyike kuzuia utakatishaji pesa za madawa ya kulevya na ufisadi kwenye taasisi holela za kidini?

 
Niliwahi kuona Ujenzi wa kanisa moja la katoliki hapa Jimbo kuu walikusanya milioni 120 wakapeleka kwenye ujenzi wa ile Parokia ajabu ni kwamba misa inayofata ile parokia ikarudisha milioni 40 kama Shukran kwa kuchangiwa na Jimbo kuu
 
 
Ndio nakumbuka mameneja wa banki wakati wa JPM kama umewekewa tshs 10m au zaidi basi jieleze umefanya biashara gani?
Kwa sasa nahisi wameacha au kiwango kimepanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…