Mjadala: Rais anapokuwa Mzanzibar kuna haja ya Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wote wa juu wa Jeshi la Polisi kuwa Watanganyika

Hawa wazenji wakiwa serious wanapindua meza wanaishika nchi nahatuwafanyi kitu nikama watusi walivyopindua meza kwawahutu huko Rwanda
 
Kwanza kwanini Tanganyika tuongozwe na mzanzibar kwamba sisi hatuna akili za kuweza kujiongoza wenyewe?
 
Ana mwanae pia nae ni moto
 
Ni vyema raisi wa Tanzania akawa mtanganyika,na wa zanzibar akawa mzanzibar,
Alafu pia nyumba ni ya baba
 
Nachosema tusiangalie Uzanzibari au Utanganyija kama sifa ya kuteua, tisifanye muafaka wa nani aongoze kisa ni wa bara au kisiwani bali awe mtendaji kazi mzuri na muadilifu.
Ni muhimu kufanya mabadiliko ya katiba yetu.

Vipengele vyote vinavyoleta u aguzi viondolewe.

1) Kipengere kinachosema Rais akitoka Tanfanyika, Makamu atoke Zanzibar kiondolewe. Tuchague mojawapo, tufute nafasi ya makamu wa Rais au tufute nafasi ya Waziri Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…