bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Kama hamutaki kuongozwaKwanza huu muungano fake uvunjwe
Mjadala wa nini hatutaki kuongozwa na wazanzibar sisi
Uvunjeni tuHui muungano fake lazima uvunjwe na kizazi kipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hamutaki kuongozwaKwanza huu muungano fake uvunjwe
Mjadala wa nini hatutaki kuongozwa na wazanzibar sisi
Uvunjeni tuHui muungano fake lazima uvunjwe na kizazi kipya
Sawa.Pole sana naona shida zako zinazosumbua ubongo wake unatafuta mahali pa kuzihamishia. Muungano ndio huu na ndio unaotuweka na amani tuliyonayo.
Hakuna lenye ukamilifu analolifanya binadamu na siku zote sifa ya uungwana ni kuweza kuvumiliana.
Samia anaweza kuwepo ikulu mpaka 2030 panapo uhai.
Gharama zake unaziweza hizo serikali tatu?. Jumbe alishaondoka kitambo sana...hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni ya muda mrefu sana.
..hoja hiyo ndiyo iliyomuondoa Aboud Jumbe katika Umakamu wa Raisi.
..madai kwamba watu hudai serikali 3 wakati Rais Rais muungano ni Mzanzibari sio ya kweli, kwa kuangazia mfano wa Aboud Jumbe, na mingi mingine.
..Serikali 3 ni hoja inayoungwa mkono na progressives toka pande zote za muungano.
..Wanaopinga serikali 3 ni kikundi kidogo cha wahafidhina walioko CCM. Kikundi hicho hakitaki Katiba iguswe hata kidogo kutokana na hofu ya madaraka yao kuponyoka.
Hatutaki wasagaji na mashoga wa kizamzibariKama hamutaki kuongozwa
Uvunjeni tu
Gharama zake unaziweza hizo serikali tatu?. Jumbe alishaondoka kitambo sana.
Tunakwenda hivi hivi na Mungu akitupa uhai SSH atakuwepo ikulu mpaka 2030, nyinyi mnaolialia endeleeni kulialia.
Unapoongeza serikali ya tatu unauua muungano wenyewe. Kwanini tuongozwe na roho za chuki kipindi cha Samia?...Tume ya Warioba walishatafiti kuhusu gharama za muungano wa serikali 3 na walijiridhisha kwamba sio tatizo.
..Pia usiangalie serikali 3 kwa ULAFI huu unaofanywa na CCM. Gharama na matumizi ya anasa ya serikali ni mambo ya kudhibiti wakati wote.
Unapoongeza serikali ya tatu unauua muungano wenyewe. Kwanini tuongozwe na roho za chuki kipindi cha Samia?.
Lakini nakuhakikishia SSH ataondoka ikulu 2030.
Ni chuki zinazoibuka na kutoweka wakati wa urais wa mzanzibari...Serikali 3 ni pendekezo la watu wenye uchungu na uelewa mkubwa kuhusu muungano.
..Warioba, Salim Salim, Joseph Butiku, Prof.Kabudi, Humphrey Polepole, ni baadhi ya wajumbe wa Tume ya Warioba.
..Hata wao wamechambua na wamekubali kuwa serikali 3 ni muungano bora kuliko huu wa serikali 2.
..Wengine tumeunga mkono serikali 3 hata wakati wa Mkapa, na Kikwete. Sio sahihi kusema tunamchukia Samia, au Raisi Mzanzibari.
..Na hata tukiwa na serikali 3 bado Mzanzibari anaweza kuongoza serikali ya muungano.
Ni chuki zinazoibuka na kutoweka wakati wa urais wa mzanzibari.
Yap arudi kwenuKama hamutaki kuongozwa
Uvunjeni tu
Ni wazanzibari. Ni watanzania wazanzibariMawazo ya kindezi ndio haya. Masauni na Samia wote ni watanzania.
Wengine tumetoka mikoa ya mpakani tuna ndugu pande zote. Je hapo vitambulisho vya utaifa havina maana.Tuilaumu Geography tuliyoikuta baada ya kuzaliwa. Visiwani na Bara ni Tanzania moja ile ile. Vitambulisho sio ishu sana.
Kuna vile vya afya, kuna vile vya kliniki, kuna vitambulisho vya kila aina vyote vinatumiwa ndani ya Jamhuri ya Tanzania.
Nyumbani ni nyumbani tu 🤣 Ina maana bado hatuamini kwamba Tanzania ni Nchi moja na Zanzibar ni sehemu ya Tanzania 🇹🇿 ??! 😅🙄Hii ni kwa sababu ya kudhibiti Conflict of interest.
Asikudanganye mtu, Nyumbani ni nyumbani tu, hili tunaliona kwa macho yetu. Huyu Masauni haya anayowafanyia Watanganyika hajawahi kuyafanya kwao wala Pemba, ni lazima tuwe na kiongozi ambaye kabla ya kutenda jambo ajiulize nikirudi nyumbani nitaelewekaje, Watu wa kwao wawe na uwezo wa kumhoji akishastaafu.
Omari Mahita baada ya kustaafu alihojiwa na Wananchi kwa njia mbali mbali kutokana na ukatili wake akiwa madarakani, wako waliomhoji uso kwa uso, na wako waliomhoji kwa kususia kuswali kwenye msikiti alioujenga kwao Morogoro, mpaka naandika hapa msikiti wa Mahita wanazalia popo tu
Huu ndio uwajibikaji wa kuvuna ulichopanda, Sasa mnapokuwa na mtu kutoka Mchambawima ama kibanda maiti aweza kufanya atakavyo kwa vile hakuna Mtanganyika atakayemhoji baada ya kustaafu.
Upande wa Tanganyika umetoa maRais wanne na upande wa Zanzibar imetoa wawili tu mpaka sasa !Cha msingi kuondoa hilo ni isijekutokea tena Tanzania/Tanganyika kua na Raisi mzanzibari
Kila mmoja atawale kwao sio huu upumbavu wa kuongozwa na watu wa hovyo hovyoUpande wa Tanganyika umetoa maRais wanne na upande wa Zanzibar imetoa wawili tu mpaka sasa !
Tumewapunja 🤣🤣🤣
Nyie Watanganyika mmepeleka Wangapi kuwa Marais Nchini Zanzibar?Upande wa Tanganyika umetoa maRais wanne na upande wa Zanzibar imetoa wawili tu mpaka sasa !
Tumewapunja 🤣🤣🤣
Iyo ni Hoja dhaifu sababu serikali ina wakilisha makundi ya watu ikiwemo watanzania bara na wanzanzibari. Uwezi kuteuwa watanzania bara wote wenye sifa kwenye serikali ukasahau wazanzibari ata kama ni jamuhuri ya mungano alikadhalika hivyo hivyo kwa wazanzibari lazima serikali iwe na uwakilishi wenye taswira ya uwiano wa makundi yoteNachosema tusiangalie Uzanzibari au Utanganyija kama sifa ya kuteua, tisifanye muafaka wa nani aongoze kisa ni wa bara au kisiwani bali awe mtendaji kazi mzuri na muadilifu.
Watanganyika hatuna ubaguzi Wewe Utakua pandikizi la maharamia.Hii ni kwa sababu ya kudhibiti Conflict of interest.
Asikudanganye mtu, Nyumbani ni nyumbani tu, hili tunaliona kwa macho yetu. Huyu Masauni haya anayowafanyia Watanganyika hajawahi kuyafanya kwao wala Pemba, ni lazima tuwe na kiongozi ambaye kabla ya kutenda jambo ajiulize nikirudi nyumbani nitaelewekaje, Watu wa kwao wawe na uwezo wa kumhoji akishastaafu.
Omari Mahita baada ya kustaafu alihojiwa na Wananchi kwa njia mbali mbali kutokana na ukatili wake akiwa madarakani, wako waliomhoji uso kwa uso, na wako waliomhoji kwa kususia kuswali kwenye msikiti alioujenga kwao Morogoro, mpaka naandika hapa msikiti wa Mahita wanazalia popo tu
Huu ndio uwajibikaji wa kuvuna ulichopanda, Sasa mnapokuwa na mtu kutoka Mchambawima ama kibanda maiti aweza kufanya atakavyo kwa vile hakuna Mtanganyika atakayemhoji baada ya kustaafu.
Wagogo bhana!Watanganyika hatuna ubaguzi Wewe Utakua pandikizi la maharamia.