Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Hata ndoa zilizotengeneza utu wetu mpaka tumekuwa watu wazima hazina huo usawa na kila siku zinajaa ugomvi na kushikana mashati sembuse nchi yenye watu milioni 64!...hakuna watu wabaguzi kama Wazanzibari.
..Ndio maana ukaona Mtanganyika anatandikwa viboko Zanzibar.
..Je, umewahi kuona Mzanzibari akishambuliwa huku Tanganyika?
..Kusema Watanganyika tunaonewa ktk muungano ni kweli.
..Kwanini hatuna serikali yetu? Kwanini hatuna Raisi wetu?
..Tunataka muungano wa HAKI, na kudai hayo haimaanishi tunabagua Wazanzibari.
NB:
..kusema wakati wa Jpm hakukuwa na ubaguzi ni uongo. Jpm aliilenga jamii fulani na chama fulani kwa chuki na ubaguzi.
Diversity is our unity, tofauti zetu ndio uimara wetu. Huo muungano unaongelewa kipindi cha rais mzenji akiwa ni msukuma au mkwere mwenzetu hakuna anayeleta tena hizi mada.
SSH ameifikisha reli pale Dodoma na mwishoni mwa mwezi huu lile daraja la Busisi linakwenda kufunguliwa kwa ajili ya kuanza kutumika. Hakuna mradi aliyouacha JPM ambao SSH hataumaliza.