Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Upo sahihi. Nchi hii kuna ujinga wa kutisha. Ukiwa humu JF huwezi kuuona. Watu hawajui hata kusoma, na ni wengi balaa. Wanaojua kusoma nao bado vilaza, uelewa wa mambo ya kawaida ni shida. Huko mtaani watu wengi wazima wanauelewa na logic za watoto wadogo. ni miili tu inawalinda. Viongozi na mabosi wanaonyesha hali halisi ya wananchi.Wenye uwezo(akili) wanakuwa wapi mpaka wanatawaliwa(kuongozwa) na wasio na uwezo? Labda 'We are reflection of our leaders!