Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi.
Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki.
Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu wetu, Mungu wa kweli habagui anampa mtu stahiki yake.
Tuendelee kuamini taifa hili lipo mikononi mwa Mungu na sio kwenye mikono ya watawala wala vyombo vya Dola.
Kwa hii kadhia ya bandari Mungu atawapa adhabu kali sana wenye kumdhihaki.
Tuzidishe maombi
Shukrani 🙏🙏❤️
Wadiz