Mjadala wa Bandari za Tanganyika umeongeza nguvu ya kuamini kwamba Mungu wa kweli yu hai jana, leo na hata milele

Huyo huyo bi kizee ni Rais wako mpaka sasa hutaki kunya yai, na huyohuyo bi kizee ni ataendelea kuwa rais wako mpaka 2030 hutaki nenda Kanye.
Naendelea kunya Oga, God is real mind your memories. Bibi mwisho 2025
 
kwanza kuweka reheni misitu kwa mwarabu ambaye hajui nini maana ya majani, tena anayehitaji mbao, unakuwa huna tofauti na mlevi.
Mwarabu apatani na miti anadai inaleta majini.
Mwarabu yupo radhi apange uswahilini pasipo na miti na maua na Sio Mbezi au mikocheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…