Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Naleta mjadala huu ambao naamini ni wa kihistoria na utachangiwa na Wasomi wetu lukuki waliojaa ndani ya Jamii Forum
Inajulikana kuwa Ishmael na Mdogo wake Isaka walikutana pamoja kwa ajili ya Maziko ya babayao Mzee Ibrahim
Baada ya hapo hakuna kumbukumbu ya maisha ya hao ndugu kama waliweza kukutana ama kuishi kwa kushirikiana.
Naomba Wasomi Wetu mtujuze
NB: Angalizo kwa yeyote atakayekubali dhihaka za kidini