Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Eti TAIFA TEULE.... Lile ni taifa ya Kiyahudi tena ni taifa dhalimu kabisaMmoja kaleta alqaeda, alshabab, isis, taliban na boko haram na mwingine taifa teule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti TAIFA TEULE.... Lile ni taifa ya Kiyahudi tena ni taifa dhalimu kabisaMmoja kaleta alqaeda, alshabab, isis, taliban na boko haram na mwingine taifa teule.
Unateseka ukiwa wapi?🤣Eti TAIFA TEULE.... Lile ni taifa ya Kiyahunda tena ni taifa shalini kabisa
Nilikuwa muislamu nasasa Ni Mkristo Messianic faith,Uwe na akiba ya Maneno siku utakaposimamishwa uchi wa mnyama mbele ya Mola wako,sababu hakuna dogo wala kubwa litakalofichikana mbele yake.Siku zote wenye Elimu ya Dini huogopa kuwakashifu au kuwatukana Mitume wa Mwenyezi Mungu,ni kujitakia laana ya bure hapa duniani na kesho Akhera
Haina nomaNimefuta nafikiri kiipindi ww ukiandika.😂
nilichanganya nikajua mnaongelea hao.
TayariFuta reply yako pale kuindoa quote yangu.
Thread closed.Mwanzo 25:8-9
[8]Ibrahimu akafariki, naye akafa katika uzee mwema, mzee sana, ameshiba siku, akakusanyika kwa watu wake.
Then Abraham gave up the ghost, and died in a good old age, an old man, and full of years; and was gathered to his people.
[9]Isaka na Ishmaeli wanawe wakamzika katika pango ya Makpela, katika shamba la Efroni bin Sohari Mhiti, lielekealo Mamre.
And his sons Isaac and Ishmael buried him in the cave of Machpelah, in the field of Ephron the son of Zohar the Hittite, which is before Mamre;
Kusimamishwa uchi tena mzee 😳😳? Haya ni maarifa mapya 🤣🤣🤣!Uwe na akiba ya Maneno siku utakaposimamishwa uchi wa mnyama mbele ya Mola wako,sababu hakuna dogo wala kubwa litakalofichikana mbele yake.Siku zote wenye Elimu ya Dini huogopa kuwakashifu au kuwatukana Mitume wa Mwenyezi Mungu,ni kujitakia laana ya bure hapa duniani na kesho Akhera
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani Ni zaidi ya kesi,kizimbani nakedKusimamishwa uchi tena mzee 😳😳? Haya ni maarifa mapya 🤣🤣🤣!
🤣🤣🤣 Noma sana🤣🤣🤣🤣🤣Yaani Ni zaidi ya kesi,kizimbani naked
Hiyo Elimu hamna,na huyo mnayemsema vibaya ndiyo aliyetupa hiyo Elimu,tutafufuliwa tukiwa uchi wa mnyama,kutokana na hiyo siku kuwa nzito au ngumu,hakuna mtu atakayekuwa na mda wa kumchungulia mwenzake,awe baba yako dada yako au mkwe wako.Mungu ndiye anayejua zaidi na Mtume wakeKusimamishwa uchi tena mzee 😳😳? Haya ni maarifa mapya 🤣🤣🤣!
Tatizo huyo Allah, mbingu yenu aliyowasimulia mtume wenu ni physical, ndio maana kuna mito ya pombe na mabikra kedekede, kwahiyo sishangai inavyonihubiria mambo ya nyuchi hapa.Hiyo Elimu hamna,na huyo mnayemsema vibaya ndiyo aliyetupa hiyo Elimu,tutafufuliwa tukiwa uchi wa mnyama,kutokana na hiyo siku kuwa nzito au ngumu,hakuna mtu atakayekuwa na mda wa kumchungulia mwenzake,awe baba yako dada yako au mkwe wako.Mungu ndiye anayejua zaidi na Mtume wake
Tatizo huyo Allah, mbingu yenu aliyowasimulia mtume wenu ni physical, ndio maana kuna mito ya pombe na mabikra kedekede, kwahiyo sishangai inavyonihubiria mambo ya nyuchi hapa.sa
Kama Mungu wako alikufanya uzariwe bila nguo,unategemea atakufufua na hizo suti mnazozikwa nazwa,Tatizo huyo Allah, mbingu yenu aliyowasimulia mtume wenu ni physical, ndio maana kuna mito ya pombe na mabikra kedekede, kwahiyo sishangai inavyonihubiria mambo ya nyuchi hapa.
Ficha ujinga wako.Tatizo Muhammad hatambuliki Kama Ni mtume
Utume wake una utata sana, halafu manabii wote walitoka kizaz Cha Isaka ,
Huyu Muhammad hata kimafundisho yupo tofauti na manabii waliopita Kama kina Isaya,Eliya,samweli,Daniel,Ezekiel,n.k
Yaan Muhammad alikuja na taratibu na sheria zake ,hata mafundisho haijulikan aliyaokota wapi
Kupitia Isaka (mwana wa ahadi) tumempata Kristo; kupitia Ishmaeli akapatikana mudi (anti Christ).
kwa hakika, YESU ndiye BWANA na MWOKOZI
Mkuu hizi ni fairytales tu (hadithi), usizitilie maanani hata kidogo. Ukijuwa historia ya dini ndipo utajuwa namaanisha nini. Ingekuwa ukweli kina T.B. Joshua na Mwamposa wasingekuwa wanachota watu akili kwa kuwadanganya kama watoto wadogo.Wadau hamjamboni nyote?
Naleta mjadala huu ambao naamini ni wa kihistoria na utachangiwa na Wasomi wetu lukuki waliojaa ndani ya Jamii Forum
Inajulikana kuwa Ishmael na Mdogo wake Isaka walikutana pamoja kwa ajili ya Maziko ya babayao Mzee Ibrahim
Baada ya hapo hakuna kumbukumbu ya maisha ya hao ndugu kama waliweza kukutana ama kuishi kwa kushirikiana.
Naomba Wasomi Wetu mtujuze
NB: Angalizo kwa yeyote atakayekubali dhihaka za kidini
Ndiyo.Wewe ni mnywa damu ya Yesu??
Je, unaamini Biblia ni neno la Mungu,? Na je huwa unaisoma na kuielewa?. Kama mambo hayo mawili huyafanyi ungetulia tu mkuu.Sidhani Kama Ni Sawa kusema hivi....wale Ni ndugu sisi waafrica hebu mengine tuwe tunayaangalia tu
Huo ndio ukweli,kwani Biblia haijatueleza Kama Ishmael ndio mtoto wa kwanza wa Ibrahim aliyezaa na kijakazi?Je, unaamini Biblia ni neno la Mungu,? Na je huwa unaisoma na kuielewa?. Kama mambo hayo mawili huyafanyi ungetulia tu mkuu.
JESUS IS SAVIOR