inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Unasikia!!!...Ibrahim alikua mwarabu wa Iraq,jidanganye kwamba waarabu wameanzia kwa ishmaelNasikia ishmaili ndo aliendaa kuzaa wavaa kobazi.. Ila sina uhakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasikia!!!...Ibrahim alikua mwarabu wa Iraq,jidanganye kwamba waarabu wameanzia kwa ishmaelNasikia ishmaili ndo aliendaa kuzaa wavaa kobazi.. Ila sina uhakika
Ibrahim alikua mwarabu wa iraqHawana ,wanabumbabumba kwa kuokoteza kutoka biblia
Hawawez kukupa vizazi vya ishameli, wala kukuelezea waarabu wanapatikanaje kupitia ishamel
Pia hawawez kukuambia Muhammad anatokea ukoo gan au kwa mtoto gan wa ishamel
Lakin ukija kwa Isaka ,unaupata ukoo wake wote , ukitaka kujua kizazi Cha Yesu unakipata kupitia Isaka kwa mtiririko wote,
Yohana 1:21(Muhammad)Nilikuwa muislamu nasasa Ni Mkristo Messianic faith,
Naujua uislamu vzr,
Huwez kunitisha maana maandiko yananipa mandate ya kuwachunguza manabii Kama wa kweli au matapeli
Mimi kwangu Muhammad Ni tapeli tu, Hakuna manabii wanaotumwa na Mungu wakapingana kimafundisho,
Cha ajabu Muhammad yupo tofauti kimafundisho hata upewaji wake wa utume na manabii wote Kama kina Hosea,Eliya, Daniel ,Ezekiel,Yohana,n.k
Inatakiwa uje na hoja kunithibitishia kuwa Muhammad Ni mtume wa Mungu,
Niliwahi kumwambia muumin wa mwamposa ,kuwa mwamposa Ni tapeli na nabii wa uongo ,akanipa vitisho Kama vyako,
Nilibaki nacheka tu
Upuuzi na chuki ulizolishwa na viongozi wako wa dini ni mkubwa kuliko unavyoweza kuamini uwezo na maamuzi ya Mungu aliyemuumba Ibrahim na kuupa utukufu uzao wake.Nuru na giza havichangamani.
Haya mastory ya dini ndio yanatufanya waafrika tunaonekana wapumbavu na kufananishwa na manyani, badala ya kuangalia ni jinsi tutaondokana na umaskini tumekalia kuwajadili mitume wa zamani watatusaidia nini??? Unakuta li nchi lina makanisa na misikiti zaidi ya 1,500 lakini lina viwanda 5, umeme na maji ya mgawo.... hayo majengo yote ya kusalia ya nini???Nilikuwa muislamu nasasa Ni Mkristo Messianic faith,
Naujua uislamu vzr,
Huwez kunitisha maana maandiko yananipa mandate ya kuwachunguza manabii Kama wa kweli au matapeli
Mimi kwangu Muhammad Ni tapeli tu, Hakuna manabii wanaotumwa na Mungu wakapingana kimafundisho,
Cha ajabu Muhammad yupo tofauti kimafundisho hata upewaji wake wa utume na manabii wote Kama kina Hosea,Eliya, Daniel ,Ezekiel,Yohana,n.k
Inatakiwa uje na hoja kunithibitishia kuwa Muhammad Ni mtume wa Mungu,
Niliwahi kumwambia muumin wa mwamposa ,kuwa mwamposa Ni tapeli na nabii wa uongo ,akanipa vitisho Kama vyako,
Nilibaki nacheka tu
Hakuna ko kote kwenye Biblia panaposema Waarabu ambao ndiyo chimbuko la Uislamu wanatokana na Ishmael.Mwendelezo wa Ishmael upo kwa waislam
Soma vizuri uelewe.Hakuna ko kote kwenye Biblia panaposema Waarabu ambao ndiyo chimbuko la Uislamu wanatokana na Ishmael.
Yaani we jamaa unataka unachokiamini wewe kila mtu akiamini....unachokijua wewe ni kile umesoma kwenye vitabu unavyoviamini hakuna ulichoshuhudia, na wanachokiamini wenzio nao wamesoma kwenye vitabu vyao vya dini wanazoziamini...kiufupi wote mmekaririshwa na hakuna mwenye haki ya kudharau cha mwenzie, usijifanye unajua sana wakati unachokijua ni kile umesimuliwa tu na huna uhakika kama ni masimulizi ya kweli.Sjui kwann hampend kuelewa mnayoambiwa.
Ibrahimu huyo mnaemsoma ktk biblia hana ushahidi wowote wa kihistoria na kisayansi kuwa aliwai kuwepo wala nduguze na blood line yake haijawai kuthibitishwa kuwepo zaidi ya nadharia za kutungwa za wazungu/waarabu.
Kama ibrahimu alizaa na kijakazi wake wa kutoka misri(africa ya kale ya watu weusi)/basi huyo mtoto alitakiwa kuzaliwa kama chotara mtu mweusi kama asili ya wamisri weusi wa kale walivyokuwa na asili ya huyo ibrahimu mweupe, na kwakuwa ibrahimu alipata watoto zaid ya mmoja yaan ishmail na isaca, itoshe kusema isaca hakuwa mwana wa pekee kwa ibrahimu maana ibrahimu alipata watoto zaid ya mmoja.
Kama mwana wa kwanza wa ibrahimu alikuwa chotara ama mtu mweusi (ishmael) je inawezekana vipi aje awe uzao wa waarabu na sio chotara ama watu weusi dam mchanganyiko?.
Hizo dini zenu mmepigwa hazina ukwel hazijui chochote, ni muda wa waafrika kuamka na kutafakari undani wa historia ya dunia.
Hizi dini zenu hazina muda mrefu tangu zianzishwe sasa znaweza vip kujua mambo ya zamani wakat kihistoria ukristo na uislam hazina miaka zaidi ya1700 tangu zianzishwe maana kuna wapuuzi wanajua kuwa hizo dini zilikuwepo tangu zaman , kumbe ni uhuni wa watu weupe kutunga historia za uongo walizocopy barani africa baada ya kuona mtu mweusi ana background nzuri.
Ishmael&isaca na hao characters wenu wa vitabu vya dini hawapo na hawajawai kuwepo na hawatowai kuwepo maana nje ya vitabu vya dini hakuna ukweli mnaoweza kuthibitishaView attachment 2236107
Acha kejeli na kudharau dini za watu kwa taarifa yako kama hujui vikundi vyote ivyi vimetengenezwa na Wamarekani ambao nia yao ni kuufuta uislam ni agenda yao inayofuata baada ya kuumaliza ukomunist na kuvunjika kwa dola la Urusi.Elewa Osama Bin Laden alifundishwa ujasusi na Wamarekani na hata Urusi ilipoivamia Afghanistan mwaka 1980 Osama aliingia vitani upande wa Afghanistan kuwafurusha Warusi jambo hili liliwafurahisha sana Wamarekani.Mmoja kaleta alqaeda, alshabab, isis, taliban na boko haram na mwingine taifa teule.
Bible na literatureMada fikirishi,kiufupi Bible haijaandika kila kitu ,yawezekana walikutana
Chief Songea Mbano kiongozi wa vita ya majimaji alikuwa na watoto wangapi? Je baada ya kunyongwa na wajerumani watoto wake walikutana?Sidhani Kama Ni Sawa kusema hivi....wale Ni ndugu sisi waafrica hebu mengine tuwe tunayaangalia tu
Hata Mimi huyu Jamaa kanichekesha Sana [emoji1][emoji1][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mwanangu umenichekesha Sana. Umewaza nini mkuu.
Wangoni Wana majibu Mimi niulize habari za Mangi Sina.Chief Songea Mbano kiongozi wa vita ya majimaji alikuwa na watoto wangapi? Je baada ya kunyongwa na wajerumani watoto wake walikutana?
😁😁😁😁Hata Mimi huyu Jamaa kanichekesha Sana [emoji1][emoji1][emoji119]
Hawa wajukuu wana matatizo ya ubongoWajukuu wa mzee Ibrahim eti wanapigana vijembe, kila mmoja anajiona anamjua sana Mungu kuliko mwengine hahahahaha
Nalog off Z
YESUSjui kwann hampend kuelewa mnayoambiwa.