johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Walikutana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ismail inasadikika yupo upande ule wkt mwenzake aliamua kuwa upande wetu!Wadau hamjamboni nyote?
Naleta mjadala huu ambao naamini ni wa kihistoria na utachangiwa na Wasomi wetu lukuki waliojaa ndani ya Jamii Forum
Inajulikana kuwa Ishmael na Mdogo wake Isaka walikutana pamoja kwa ajili ya Maziko ya babayao Mzee Ibrahim
Baada ya hapo hakuna kumbukumbu ya maisha ya hao ndugu kama waliweza kukutana ama kuishi kwa kushirikiana.
Naomba Wasomi Wetu mtujuze
NB: Angalizo kwa yeyote atakayekubali dhihaka za kidini
Dini ipi?Kumbe dini ndiko ilikoanzia ee
Aliyeuza Ni Esau,aliyenunua Ni Jacob,na baadae ndio akawa Israel .Ismail inasadikika yupo upande ule wkt mwenzake aliamua kuwa upande wetu!
Japo pia inasadikika kuwa wale mapacha wawili wenye fujo(Esau na Yakobo),yule aliyeuza urithi wake kwa ugali yupo kule wakati yule aliyeununua yupo huku kwetu.
Kujibu swali nikwamba hawajawahi kukutana japo kosa linaweza kuwa la baba yao kabla hajafa.
Mawazo ya wajumbe yaheshimiwe.
Sidhani Kama Ni Sawa kusema hivi....wale Ni ndugu sisi waafrica hebu mengine tuwe tunayaangalia tuKupitia Isaka (mwana wa ahadi) tumempata Kristo; kupitia Ishmaeli akapatikana mudi (anti Christ).
kwa hakika, YESU ndiye BWANA na MWOKOZI
Ulisikia wapi ?Nasikia ishmaili ndo aliendaa kuzaa wavaa kobazi.. Ila sina uhakika
😁😁😁😁😁😁 mwanangu umenichekesha Sana. Umewaza nini mkuu.Kwani kuna nini mpaka kuhoji kama walikutana?
Hawana ,wanabumbabumba kwa kuokoteza kutoka bibliaMwendelezo wa Ishmael upo kwa waislam
Kiukweli nimesoma baadhi ya maelezo Yao naona mengi Kama wameyatoa kwa wakristo.Hawana ,wanabumbabumba kwa kuokoteza kutoka biblia
Hawawez kukupa vizazi vya ishameli, wala kukuelezea waarabu wanapatikanaje kupitia ishamel
Pia hawawez kukuambia Muhammad anatokea ukoo gan au kwa mtoto gan wa ishamel
Lakin ukija kwa Isaka ,unaupata ukoo wake wote , ukitaka kujua kizazi Cha Yesu unakipata kupitia Isaka kwa mtiririko wote,
Tatizo Muhammad hatambuliki Kama Ni mtumeKutokana na michango ya watoa maada hapo ndipo utakapojua ni ipi Dini ya Ukweli na upendo na ipi ni Dini ya Uongo na fujo,kuna upande mda wote wao ni wastarabu hutakuja kuona wanambagua Mtume yeyote yule,hii yote ni kutokana na Elimu ya Dini waliyokuwa nayo kutoka kwa Mwenyezi Mungu kupitia Mtume wa Muhamad (S.A.W)
Tena inaonesha aliyekuwa anampa hint za kwenye biblia alikuwa Hana Elimu na uelewa ,wamechanganya changanya sanaKiukweli nimesoma baadhi ya maelezo Yao naona mengi Kama wameyatoa kwa wakristo.
MUNGU aliweka ahad kupitia Isaka na uzao wake,Hao nao mbona kama wana mambo ya kike, ina maana wamenuniana hawataki kuonana.?
Uwe na akiba ya Maneno siku utakaposimamishwa uchi wa mnyama mbele ya Mola wako,sababu hakuna dogo wala kubwa litakalofichikana mbele yake.Siku zote wenye Elimu ya Dini huogopa kuwakashifu au kuwatukana Mitume wa Mwenyezi Mungu,ni kujitakia laana ya bure hapa duniani na kesho AkheraTatizo Muhammad hatambuliki Kama Ni mtume
Utume wake una utata sana, halafu manabii wote walitoka kizaz Cha Isaka ,
Huyu Muhammad hata kimafundisho yupo tofauti na manabii waliopita Kama kina Isaya,Eliya,samweli,Daniel,Ezekiel,n.k
Yaan Muhammad alikuja na taratibu na sheria zake ,hata mafundisho haijulikan aliyaokota wapi