Mjadala wa kihistoria: Je, Ishmael na Mdogo wake Isaka Walionana tena baada ya Kifo cha Babayao Mzee Ibrahim?

Wewe ni KOT(Kilaza Of all Time) kwa daraja la ujinga uliofikia ndio maana watu wanakupuuza wanajua wanazungumza na mtu ambaye kichwani hamna kitu.

Qur'an haichambuliwi kama gazeti kama unasoma gazeti ndio maana kuna elimu na vitabu kuhusu Exegesis of Qur'an ili kujua essence of verses kwa hiyo nakushauri jaribu kuficha ujinga wako soma vitabu vya uchambuzi kama Tafsir ya Ibn kathir kabla ya kupost..
Wewe wajiua vema hiyo aya hebu tupe tafsiri yake
 
Kwa hiyo nyie mkipewa hela na silaha kazi yenu inakuwa ni kuuana tu?!

Acha kejeli na kudharau dini za watu kwa taarifa yako kama hujui vikundi vyote ivyi vimetengenezwa na Wamarekani ambao nia yao ni kuufuta uislam ni agenda yao inayofuata baada ya kuumaliza ukomunist na kuvunjika kwa dola la Urusi.Elewa Osama Bin Laden alifundishwa ujasusi na Wamarekani na hata Urusi ilipoivamia Afghanistan mwaka 1980 Osama aliingia vitani upande wa Afghanistan kuwafurusha Warusi jambo hili liliwafurahisha sana Wamarekani.
Baadae akagundua hila na ubaya wa Wamarekani dhidi ya Uislam kuwa ni wanafiki ndio akawageuka.Narudia tena hivyi vikundi vinatengenezwa nchini Marekani sasa waislam wenye mawazo mafupi wakipewa silaha wanamalizana wenyewe kwa wenyewe na hapo hapo Mmarekani anapata soko la Silaha zake take care bro usifikirie kwa kukariri
 
wewe na ndugu yako mkienda kumzika mzee wenu makaburi ya kigamboni mkimaliza kuzika si kila moja anaenda na shughuli zake. sasa kwa taarifa yako baada ya kuzika isaka alienda kuondolea watu wenye mapepo ndio ilikuwa kazi yake na kuanzisha ndoa ya jinsia moja na kuchukua wake za watu ndio maana mpaka leo ukienda jumapili kusali unaopoa demu bila tabu yoyote. ishmael yeye alienda kufanya kazi za baba yake ibrahimu alioamrishwa na mungu
 
Yaani Mungu na mtume unawaweka darja moja ?

Ukisema Mungu na mtume wanajua zaidi inaonekana uelewa wao hautofautiani , ingali mmoja ni mwanadamu na mwingine sio mwanadamu.
 
Hiyo Elimu hamna,na huyo mnayemsema vibaya ndiyo aliyetupa hiyo Elimu,tutafufuliwa tukiwa uchi wa mnyama,kutokana na hiyo siku kuwa nzito au ngumu,hakuna mtu atakayekuwa na mda wa kumchungulia mwenzake,awe baba yako dada yako au mkwe wako.Mungu ndiye anayejua zaidi na Mtume wake
Vipi na ambao wamechomwa moto na kugeuka majivu.

watakuwaje uchi ?
 
Hiyo Elimu hamna,na huyo mnayemsema vibaya ndiyo aliyetupa hiyo Elimu,tutafufuliwa tukiwa uchi wa mnyama,kutokana na hiyo siku kuwa nzito au ngumu,hakuna mtu atakayekuwa na mda wa kumchungulia mwenzake,awe baba yako dada yako au mkwe wako.Mungu ndiye anayejua zaidi na Mtume wake
vipi kwa mtu aliyekufa na kuliwa na simba .

atafufuliwaje akiwa uchi.?
 
Kama Mungu wako alikufanya uzariwe bila nguo,unategemea atakufufua na hizo suti mnazozikwa nazwa,
la hasha ndugu yangu,utafufuliwa kama ulivyozaliwa,na peponi hakutakuwa na mzee wote watakuwa vijana,na tutaishi kimwili kama mili yetu ya Duniani.

Tutakula na kunywa kama kawaida,na tendo la ndoa litaendelea,kama mkeo utabahatika kuwa nae peponi basi ndoa itaendelea kama kawaida,kunya na kukojoa hakutakuwepo,watu watajisaidia kwa kutoa jasho,Mengine Mungu na Mtume wake ndiyo wanaojua zaidi
Kuna watu mnaamini hili [emoji23]

huko mbinguni kwenu watu watakuwa wananjunjana doggy style badala ya kumsifu na kumuabudu Mungu

Nimeamini akili ni nywele na kila mtu ana zake.
 
Kama Mungu wako alikufanya uzariwe bila nguo,unategemea atakufufua na hizo suti mnazozikwa nazwa,
la hasha ndugu yangu,utafufuliwa kama ulivyozaliwa,na peponi hakutakuwa na mzee wote watakuwa vijana,na tutaishi kimwili kama mili yetu ya Duniani.

Tutakula na kunywa kama kawaida,na tendo la ndoa litaendelea,kama mkeo utabahatika kuwa nae peponi basi ndoa itaendelea kama kawaida,kunya na kukojoa hakutakuwepo,watu watajisaidia kwa kutoa jasho,Mengine Mungu na Mtume wake ndiyo wanaojua zaidi
kumbe ndio maana ISIS wanajitoa mhanga wakapige doggy style huko mbinguni kwenu.

Vipi, kutakuwa na alqasusu ?
 
Kama Mungu wako alikufanya uzariwe bila nguo,unategemea atakufufua na hizo suti mnazozikwa nazwa,
la hasha ndugu yangu,utafufuliwa kama ulivyozaliwa,na peponi hakutakuwa na mzee wote watakuwa vijana,na tutaishi kimwili kama mili yetu ya Duniani.

Tutakula na kunywa kama kawaida,na tendo la ndoa litaendelea,kama mkeo utabahatika kuwa nae peponi basi ndoa itaendelea kama kawaida,kunya na kukojoa hakutakuwepo,watu watajisaidia kwa kutoa jasho,Mengine Mungu na Mtume wake ndiyo wanaojua zaidi
Ujinga ni kipaji

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma mtapewa adi ndizi nimecheka , Muhammad alikuwa anaishi jangwani akaona akiwa promise ndizi ni kitu kikubwa mno,
Koran 56:29 And [banana] trees layered [with fruit]
Na kunjunjana [emoji23]
 
Wewe ni KOT(Kilaza Of all Time) kwa daraja la ujinga uliofikia ndio maana watu wanakupuuza wanajua wanazungumza na mtu ambaye kichwani hamna kitu.

Qur'an haichambuliwi kama gazeti kama unasoma gazeti ndio maana kuna elimu na vitabu kuhusu Exegesis of Qur'an ili kujua essence of verses kwa hiyo nakushauri jaribu kuficha ujinga wako soma vitabu vya uchambuzi kama Tafsir ya Ibn kathir kabla ya kupost..
Badala ujibu hoja unanishambulia kwa hasira

Mimi nitakutumia ww Kama ubao wa kufundishia

54:1 - Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!

Huu uongo mpaka lini waislam ? Mwezi tangu lini ukapasuka?
 
Kwa hiyo nyie mkipewa hela na silaha kazi yenu inakuwa ni kuuana tu?!
Kwani Joseph Kony wa Uganda na dada yake Alice Lakwena walikuwa waislam na kundi lao tena wamelipa jina la kimungu The lord resistance army.Je unajua vita vya msalaba wewe au Crusade.Ni miaka kadhaa tu papa Paul kabla hajafa aliomba radhi madhambi ya wakristo waliyofanyia dini na madhehebu mengine duniani tatizo mnakariri kuwa waarabu ni wabaya sasa kwa taarifa yako mimi ni mkristo damu damu lakini dini yetu kwa baadhi ya madhehebu siyataji ni wanafiki sana mbele za mungu waislam sio wanafiki
 
Badala ujibu hoja unanishambulia kwa hasira

Mimi nitakutumia ww Kama ubao wa kufundishia

54:1 - Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!

Huu uongo mpaka lini waislam ? Mwezi tangu lini ukapasuka?
Kuna levo ya ujinga mtu akifikia hastaili kujadiliana nae ila ilikuwa jukumu langu kukutaarifu kwamba uzwazwa wako upo Ktk levo ya juu kabisa.Ningekupa darasa la Tafsir kea kila aya au unayoleta kama ungekuwa na dhamiria ya kujua na kuelewa kea vile umehiari kupotosha,upofu ,ujinga na kebehi kanuni inamsema ni wakupuuzwa tu

Kama Qur'an hata vitu vyote vingekuwa vinatafsiriwa kama unavyofanyka kusingekuwa na haja ya walimu notes tu zingetosha kumpa mwanafunzi ajisomee na ingemfaa
 
Attachments

  • 15ee7100f7fd1f38aaad128f0b59ea7b.jpg
    15ee7100f7fd1f38aaad128f0b59ea7b.jpg
    23.6 KB · Views: 9
Kwani Joseph Kony wa Uganda na dada yake Alice Lakwena walikuwa waislam na kundi lao tena wamelipa jina la kimungu The lord resistance army.Je unajua vita vya msalaba wewe au Crusade.Ni miaka kadhaa tu papa Paul kabla hajafa aliomba radhi madhambi ya wakristo waliyofanyia dini na madhehebu mengine duniani tatizo mnakariri kuwa waarabu ni wabaya sasa kwa taarifa yako mimi ni mkristo damu damu lakini dini yetu kwa baadhi ya madhehebu siyataji ni wanafiki sana mbele za mungu waislam sio wanafiki
Wewe ni stone kisser (mbusu jiwe) huwezi jificha , hakuna mkristo anaandika Mungu kwa herufi ndogo
 
Back
Top Bottom