Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Moja kwa Moja kwenye mada.
Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii.
Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati njema nikafaulu kwenda five. Nikaenda...tena msukumo ulitokana na kusomeshwa bureee uitokana na kuwa na ufaulu mzuri.
Nikaapia chuo kikuu siendi. Lazim nisome college nipate ajira chap.
Niligundua ubora na maana ya advanced level baadae.
Ni kweli kabisa college unajifunza utendaji kazi zaidi,wakati advance na chuo kikuu unajengewa upeo na utambuzi wa mambo mengi na kwa kina na kwa undani tutaita "deepdown" au high to the hill.
Shida moja ya advanced level to university tunaharibiwa na politics, na baadae anakuja mtu anaanza kusema tubadili hivi tuweke hivi. Elimu na mitaala inaanza kuchakachuliwa elimu na mitaala inaanza kuwa feki na ya kichina china.
My take.
Ninaona hata comment watu wanazotoa hapa kwenye andiko ni za standard ya primary school.
Walau mkuu Winga dalali umegundua sijaainisha bado hoja maana sikuwa nimetulia. Lakini ndugu Robert Heriel Mtibeli huwezi judge mtu kirahisi nanna hiyo kana unavyodai na T14 Armata sitegemei maneno ovu kama hayo