Mjadala wa kwamba mtu asome five na six au aende vyuo vya kati ni wa kipuuzi

Moja kwa Moja kwenye mada.

Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii.

Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati njema nikafaulu kwenda five. Nikaenda...Tena msukumo ulitokama kusomeshwa bureee kitokana na Kuwa na ufaulu mzuri.

Nikaapia chuo kikuu siendi. Lazim nisome college nipate ajira chap.

Niligundua ubora na maana ya advanced level baadae.
Nimetoka form four,nikaenda DIT,nikapiga diploma,nikapiga bachelor in engineering,Sasa hv ni professional engineer!!nimeishapitq makampuni SITA,nimefanya renewable energy system,wimax,and wifi system,power and switchgear,generator controller na plc,HVAC system,BMS system,bas system,waste water system,System za kuchakata maji kama za dawasa,
Sasa suoni nilichokosa kwa kutoenda six.
College au high-level,inategemea wewe unataka Nini,
Nikiwa DIT,kulikuwa na kijana Mmoja,alitoka veta,akajiunga FTC,asome telecommunications,alikuwa mzuri sana kwenye electronics,tv,redio,electronics system alikuwa ana repair vzr sana,alikuwa anawasaidia hata watu wa degree kuandaa proto type,kwenye mitiani alikuwa hakai zaidi ya dk 45,alifaulu vzr ftc,chuo kikamtaka abaki asomeshwe degree aje awe recturer,akasema yeye haitaj degree,Wala kuajiliwa alitqka aongeze ujuzi TU wa diploma,ili akaendeshe workshop yake,na kuvumbua vitu na projects kibao,
Sasa hv,yupo mbali sana.
 
Nimefanya sahili pale utumishi wanachotaka Ni cheti Cha kuzaliwa, cheti Cha form four, pamoja na Cha chuo!! Kwa hiyo advance kimsingi Ni kupoteza muda tu!!
 
Moja kwa Moja kwenye mada.

Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii.

Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati njema nikafaulu kwenda five. Nikaenda...Tena msukumo ulitokama kusomeshwa bureee kitokana na Kuwa na ufaulu mzuri.

Nikaapia chuo kikuu siendi. Lazim nisome college nipate ajira chap.

Niligundua ubora na maana ya advanced level baadae.
Kwa huu uandishi hata huko A-level hukuelewa kitu. Tuambie mtu anapungukiwa nini akisoma vyuo vya kati na anapata faida gani akisoma A-level. Ninachojua Mimi kila moja umahiri wake unajitegemea, kwa maana vyuo vya kati vinajitosheleza kwa umahiri wanaotoa labda uwe kilaza. Na hivyo hivyo A - level ni full package.
 
Lengo lake yeye ni kuthibitisha A level ni bora kuliko vyuo vya kati. Au una comment bila kusoma mada?
Watu wachache Sana kama wewe mkuu ndio maana sihangaiki kumjibu mtu.

Mm ni Binti wa kike ninashuhudia Sana kijiamini Kwa wadada waliomaliza kidato cha nne kulivyo chini ukilingansha waliosonga a level na chuo kikuu.

Rate ya kumengwa nk
 
Hebu tetea point yako.

Maana bado mpaka sasa haujaelezea point yako.

Kujiamini na rate ya kumengwa?

Kuhusu kujiamini napingana na wewe, mimi nafundisha chuo watoto wa diploma nursing na clinical medicine. Na muda mwingi tuko nao practical area hospitalini na field wana interact na wagonjwa na presentations wanafanya kila asubuhi.

Vijana wanajiamini sana maana kazi zao zinahutaji socialization muda wote sio kama hao A level wanaofungiwa shuleni muda wote.

Kwenye rate ya kumegwa (kama unamaanisha sex) apo naweza kukubaliana na wewe, simply mazingira ya vyuoni wako free sana so kuchakatwa mbususu ni kawaida ukilinganisha na waliopo A level. But hii sioni kama ni hoja ya msingi, maana inategemea tabia ya mtu (subjective) hebu toa point nzito bwana.

NB: Mimi nilipitia A level pia. Bachelor tutakutana na waliopitia Diploma aisee walitupeleka puta sana mpaka second year ndo tukaanza kwenda nao sambamba.

Mimi wanangu watapitia diploma. Asante
 
Cliff 🐟
Mimi wanangu watapitia diploma. Asante
Nashukuru baadhi ya hoja zangu unanielewa. Binti wa kike aliyesoma advanced level na aliyeishia f4 haa wawili mwenye upeo mpana ni wa advanced.
 
Nimetoka form four,nikaenda DIT,nikapiga diploma,nikapiga bachelor in engineering,Sasa hv ni professional engineer!!nimeishapitq makampuni SITA,nimefanya renewable energy system,wimax,and wifi system,power and switchgear,generator controller na plc,HVAC system,BMS system,bas system,waste water system,System za kuchakata maji kama za dawasa,
Sasa suoni nilichokosa kwa kutoenda six.
College au high-level,inategemea wewe unataka Nini,
Nikiwa DIT,kulikuwa na kijana Mmoja,alitoka veta,akajiunga FTC,asome telecommunications,alikuwa mzuri sana kwenye electronics,tv,redio,electronics system alikuwa ana repair vzr sana,alikuwa anawasaidia hata watu wa degree kuandaa proto type,kwenye mitiani alikuwa hakai zaidi ya dk 45,alifaulu vzr ftc,chuo kikamtaka abaki asomeshwe degree aje awe recturer,akasema yeye haitaj degree,Wala kuajiliwa alitqka aongeze ujuzi TU wa diploma,ili akaendeshe workshop yake,na kuvumbua vitu na projects kibao,
Sasa hv,yupo mbali sana.
Mbona recturer tena[emoji14][emoji14]
 
Watu wachache Sana kama wewe mkuu ndio maana sihangaiki kumjibu mtu.

Mm ni Binti wa kike ninashuhudia Sana kijiamini Kwa wadada waliomaliza kidato cha nne kulivyo chini ukilingansha waliosonga a level na chuo kikuu.

Rate ya kumengwa nk

Mnnnh Sio Kweli.
Kwa maana hiyo unataka kuthibitisha kuwa

1. Wadada ambao hawajasoma kabisa au walioishia darasa la Saba na hapo kati shule za misingi na sekondari HAWAJIAMINI na WANAMEGWA Sana kuliko nyie mliopita advance ???

2. Umepimaje na kufikia conclusion kwamba wadada mliopitia advance nyie mnajiamini zaidi na hammegwi sana kama hao niliowataja hapo juu namba 1?

Kwa Upande wa Wadada kwa hizo sababu zako SIO KWELI Kabisa kwasababu suala la KUJIAMINI na KUMEGWA linachangiwa na vitu vingi sio tu elimu halafu iwe Advance.

Sijajua upande wa Wa ME sababu zako ni zipi.
 
Hata watoto wa chekechea pale shule ya msingi Bulyaga wanaweza wakaandika content ikaeleweka kidogo kuliko huyu mwana Jf
 
Wawasaili nyinyi kizaz cha .com maana mmezidi.

Ushuhuda nafanyakazi na wanaume na wadada wenzazngu yaani wanatia aibu. Vichwani mwao wamekariri hivi jamani wahitimu wa miaka ya 80,90, na walau early 2000 mnanielewa.

Kizaz cha 2005-2020 hakuna wamna kitu. Hasta kweenye elimu uchafu ulianzia kipindi hicho.
 
Miaka hiyo walimu wenye uwezo wao waliamua kuhama kada hiyo wengi wamejaa maofisn nk wakifanya kazin zingine wamo Ma HR, Lawyers, Managers, Directors, wabunge nk.
 
Back
Top Bottom