Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Naunga mkono hojaShuleni Watu hawafuati Akili Bali maarifa na ujuzi ambayo huitwa Elimu.
MTU anaweza akawa hajaenda shule kabisa lakini akawa anamuacha Kwa mbali MTU mwenye PhD linapokuja suala la AKILI.
Nimetoka form four,nikaenda DIT,nikapiga diploma,nikapiga bachelor in engineering,Sasa hv ni professional engineer!!nimeishapitq makampuni SITA,nimefanya renewable energy system,wimax,and wifi system,power and switchgear,generator controller na plc,HVAC system,BMS system,bas system,waste water system,System za kuchakata maji kama za dawasa,Moja kwa Moja kwenye mada.
Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii.
Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati njema nikafaulu kwenda five. Nikaenda...Tena msukumo ulitokama kusomeshwa bureee kitokana na Kuwa na ufaulu mzuri.
Nikaapia chuo kikuu siendi. Lazim nisome college nipate ajira chap.
Niligundua ubora na maana ya advanced level baadae.
Kwani ukitoka advance level kuna ujuzi gani unaotoka nao pale tuanze na hapoUlivyo jieleza tu umethibitisha kuwa ume toka A level mweupe!!
Lengo lake yeye ni kuthibitisha A level ni bora kuliko vyuo vya kati. Au una comment bila kusoma mada?Kwani ukitoka advance level kuna ujuzi gani unaotoka nao pale tuanze na hapo
Nimecomment bila kusoma mada, advance level haina maana yoyote. Ni kumpotezea muda mwanafunzi.....Lengo lake yeye ni kuthibitisha A level ni bora kuliko vyuo vya kati. Au una comment bila kusoma mada?
Kwa huu uandishi hata huko A-level hukuelewa kitu. Tuambie mtu anapungukiwa nini akisoma vyuo vya kati na anapata faida gani akisoma A-level. Ninachojua Mimi kila moja umahiri wake unajitegemea, kwa maana vyuo vya kati vinajitosheleza kwa umahiri wanaotoa labda uwe kilaza. Na hivyo hivyo A - level ni full package.Moja kwa Moja kwenye mada.
Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii.
Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati njema nikafaulu kwenda five. Nikaenda...Tena msukumo ulitokama kusomeshwa bureee kitokana na Kuwa na ufaulu mzuri.
Nikaapia chuo kikuu siendi. Lazim nisome college nipate ajira chap.
Niligundua ubora na maana ya advanced level baadae.
Watu wachache Sana kama wewe mkuu ndio maana sihangaiki kumjibu mtu.Lengo lake yeye ni kuthibitisha A level ni bora kuliko vyuo vya kati. Au una comment bila kusoma mada?
Watu wachache Sana kama wewe mkuu ndio maana sihangaiki kumjibu mtu.
Mm ni Binti wa kike ninashuhudia Sana kijiamini Kwa wadada waliomaliza kidato cha nne kulivyo chini ukilingansha waliosonga a level na chuo kikuu.
Rate ya kumengwa nk
Nashukuru baadhi ya hoja zangu unanielewa. Binti wa kike aliyesoma advanced level na aliyeishia f4 haa wawili mwenye upeo mpana ni wa advanced.Hebu tetea point yako.
Maana bado mpaka sasa haujaelezea point yako.
Kujiamini na rate ya kumengwa?
Kuhusu kujiamini napingana na wewe, mimi nafundisha chuo watoto wa diploma nursing na clinical medicine. Na muda mwingi tuko nao practical area hospitalini na field wana interact na wagonjwa na presentations wanafanya kila asubuhi.
Vijana wanajiamini sana maana kazi zao zinahutaji socialization muda wote sio kama hao A level wanaofungiwa shuleni muda wote.
Kwenye rate ya kumegwa (kama unamaanisha sex) apo naweza kukubaliana na wewe, simply mazingira ya vyuoni wako free sana so kuchakatwa mbususu ni kawaida ukilinganisha na waliopo A level. But hii sioni kama ni hoja ya msingi, maana inategemea tabia ya mtu (subjective) hebu toa point nzito bwana.
NB: Mimi nilipitia A level pia. Bachelor tutakutana na waliopitia Diploma aisee walitupeleka puta sana mpaka second year ndo tukaanza kwenda nao sambamba.
Cliff 🐟
Mimi wanangu watapitia diploma. Asante
Mbona recturer tena[emoji14][emoji14]Nimetoka form four,nikaenda DIT,nikapiga diploma,nikapiga bachelor in engineering,Sasa hv ni professional engineer!!nimeishapitq makampuni SITA,nimefanya renewable energy system,wimax,and wifi system,power and switchgear,generator controller na plc,HVAC system,BMS system,bas system,waste water system,System za kuchakata maji kama za dawasa,
Sasa suoni nilichokosa kwa kutoenda six.
College au high-level,inategemea wewe unataka Nini,
Nikiwa DIT,kulikuwa na kijana Mmoja,alitoka veta,akajiunga FTC,asome telecommunications,alikuwa mzuri sana kwenye electronics,tv,redio,electronics system alikuwa ana repair vzr sana,alikuwa anawasaidia hata watu wa degree kuandaa proto type,kwenye mitiani alikuwa hakai zaidi ya dk 45,alifaulu vzr ftc,chuo kikamtaka abaki asomeshwe degree aje awe recturer,akasema yeye haitaj degree,Wala kuajiliwa alitqka aongeze ujuzi TU wa diploma,ili akaendeshe workshop yake,na kuvumbua vitu na projects kibao,
Sasa hv,yupo mbali sana.
Watu wachache Sana kama wewe mkuu ndio maana sihangaiki kumjibu mtu.
Mm ni Binti wa kike ninashuhudia Sana kijiamini Kwa wadada waliomaliza kidato cha nne kulivyo chini ukilingansha waliosonga a level na chuo kikuu.
Rate ya kumengwa nk
Kama maprofesa tu ni vilaza je huyo f6 jeMTU umefika Hadi chuo lakini hujui hata kujieleza Watu waelewe fikra zako(ulichokuwa unataka kusema)