TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Wadau mnaonaje tulipigie kelele swala la daladala kwa sababu wananchi wanaghalimika kutumia pikipiki na bajaji wanapotaka kwenda maeneo ya mbali ndan ya manispaa
Sijui meli zikianza itakuwaje ? Na stendi walivyouchukua mbali hivyo.vyuo kama jocuco,carumuco kuwa mbali,kahororo,kagongo kaifo na karuguru,kibeta kyebitembe, vyote ni mbali ukizingatia mji unapanuka daladala zirudishwe katika maeneo hayo faster maana ni tabu kweli ukizingatia bk mvua hazikatiki
 
Yap viongozi hawana budi kulifanyia hili kazi maana kama kutakuwa na mazingira na support nzuri ya viongozi wafanyabiashara wa daladala watachangamkia hii fursa
 
Mkuu usisahau kuturushia clip/picha za maendeleo ya ujenzi
 
Wadau mnaonaje tulipigie kelele swala la daladala kwa sababu wananchi wanaghalimika kutumia pikipiki na bajaji wanapotaka kwenda maeneo ya mbali ndan ya manispaa
Hivi ni nini huwa kinazuia uwepo wa ruti za ndani za daladala hapo town?
 
Hivi tunaweza kupata picha ya kipande kipya cha round about stand kilichowekwa rami?
 
Bukoba kwenu kupata maendeleo itakuwa ni ndoto, kwa sababu asili ya muhaya yeyote duniani ni kuona mwenzie anataabika,anadhalilika, analia na njaa, mjiulize ni kwa nini mkuu aliwakazia hawa watu walipopata majanga ya tetemeko la ardhi, ## ni kwa sababu anawajua vizuri tabia zao
 
Mbona maendeleo yalishapatikana na yanaendelea kupatikana mkuu hebu tazama mji wa bukoba unavyokua kwa kasi .kwa taarifa yako hio miradi mingi unaendelea kutekelezwa hapa bk.we baki huko huko na chuki zako za kijinga na kipumbavu na usije bk maana we unaiona kama si tz kama sehemu nyingine. Bk inaendelea kupeta na kukua kwa kasi na maendeleo yanapatikana mkuu.utakufa vibaya na chuki zako mkuu na wivu wako.kwanza huku hapakuhusu
 
Wivu utakuua mkuu
 
Hao ni wa kuachana nao mkuu wala hata usiharibu mda wako mzuri kujibizana nao, si unawajua na roho zao za kwanini. Kama wanataka kubishana waambie tu wafunge safari waje wenyewe waone, na wako wengi sana hata kule Jf nilimwona bwege mmoja kaandika eti kafika hapo Bkb hajawaona wahaya isipokuwa wanyarwanda. Watu wasiopenda kuona wala kusikia Bkb inapaa wako wengi sana lakini washachelewa.
 
Yaani wanachukia wahaya na maendeleo yao sijui kwa nini? Ila mi naona bk inaizidi kukua kwa kasi nimeshangaa kukuta mji unaanza kukaribia katoma mji unapanuka kwa haraka sana hasa kimakazi
 
Tulia stand iishe, u/ndege ukamilike na meli ije ..kuna watakaokwenda hadi kwa sangoma kuichawia Bkb
 
Tulia stand iishe, u/ndege ukamilike na meli ije ..kuna watakaokwenda hadi kwa sangoma kuichawia Bkb
Neema yaja bukoba hebu tazama video iliyopostiwa na Millard ayo YouTube nimeshindwa kuiweka humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…