Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Good questionMkuu umeasidiaje kama kama unalijua tatizo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good questionMkuu umeasidiaje kama kama unalijua tatizo???
Sijui meli zikianza itakuwaje ? Na stendi walivyouchukua mbali hivyo.vyuo kama jocuco,carumuco kuwa mbali,kahororo,kagongo kaifo na karuguru,kibeta kyebitembe, vyote ni mbali ukizingatia mji unapanuka daladala zirudishwe katika maeneo hayo faster maana ni tabu kweli ukizingatia bk mvua hazikatikiWadau mnaonaje tulipigie kelele swala la daladala kwa sababu wananchi wanaghalimika kutumia pikipiki na bajaji wanapotaka kwenda maeneo ya mbali ndan ya manispaa
Yap viongozi hawana budi kulifanyia hili kazi maana kama kutakuwa na mazingira na support nzuri ya viongozi wafanyabiashara wa daladala watachangamkia hii fursaSijui meli zikianza itakuwaje ? Na stendi walivyouchukua mbali hivyo.vyuo kama jocuco,carumuco kuwa mbali,kahororo,kagongo kaifo na karuguru,kibeta kyebitembe, vyote ni mbali ukizingatia mji unapanuka daladala zirudishwe katika maeneo hayo faster maana ni tabu kweli ukizingatia bk mvua hazikatiki
Mkuu usisahau kuturushia clip/picha za maendeleo ya ujenziSijui meli zikianza itakuwaje ? Na stendi walivyouchukua mbali hivyo.vyuo kama jocuco,carumuco kuwa mbali,kahororo,kagongo kaifo na karuguru,kibeta kyebitembe, vyote ni mbali ukizingatia mji unapanuka daladala zirudishwe katika maeneo hayo faster maana ni tabu kweli ukizingatia bk mvua hazikatiki
Hivi ni nini huwa kinazuia uwepo wa ruti za ndani za daladala hapo town?Wadau mnaonaje tulipigie kelele swala la daladala kwa sababu wananchi wanaghalimika kutumia pikipiki na bajaji wanapotaka kwenda maeneo ya mbali ndan ya manispaa
Speed ya ujenzi ni kubwa sasa imeshafikka hapa kuweka lami ndo kumebaki ili phase one iisheHivi tunaweza kupata picha ya kipande kipya cha round about stand kilichowekwa rami?
Walau siku hizi panapendeza hapo ila vumbi la stendi linapachafuaHivi tunaweza kupata picha ya kipande kipya cha round about stand kilichowekwa rami?
Speed ya ujenzi ni kubwa sasa imeshafikka hapa kuweka lami ndo kumebaki ili phase one iishe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hiyo ni stand siyo?Speed ya ujenzi ni kubwa sasa imeshafikka hapa kuweka lami ndo kumebaki ili phase one iishe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ya ndo inayojengwa .eneo lilishaparuriwa tayari kwa lamiHiyo ni stand siyo?
Bukoba kwenu kupata maendeleo itakuwa ni ndoto, kwa sababu asili ya muhaya yeyote duniani ni kuona mwenzie anataabika,anadhalilika, analia na njaa, mjiulize ni kwa nini mkuu aliwakazia hawa watu walipopata majanga ya tetemeko la ardhi, ## ni kwa sababu anawajua vizuri tabia zaoMradi wa Tushirikishane (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") umeanza rasmi jimbo la Bukoba mjini chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Mbunge Wilfred Lwakatare.
Tokana na misingi ya TUSHIRIKISHANE iliyoelemea katika kuwawezesha wabunge wa kuchaguliwa kutekeleza ahadi 4 kati ya jumla ya ahadi walizotoa wakati wa uchaguzi kwa urahisi kwa kushirikiana na wananchi; mada hii itatumika kuwasilisha, kujadili na kupeana taarifa ya kile kinachojiri Bukoba mjini.
Ahadi walizochagua kufuatilia wananchi wa Bukoba mjini kwenye mradi wa TUSHIRIKISHANE
a. Ujenzi wa soko kuu la Bukoba, soko la Kashai na Stendi kuu ya mabasi Bukoba
b. Mikopo ya vikundi vya kijasiriamali vya akina mama na vijana
c. Urasimishaji wa makazi
d. Bima za afya kwa wananchi angalau
View attachment 389799
Meya wa Manisapaa ya Bukoba, Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini na Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media wakisaini makubaliano ya kushiriki katika utekelezaji wa Mradi wa Tushirikishane
Mada hii itatumika zaidi na Wana Bukoba kutupa taarifa.
Baadhi ya Washiriki watakuwa:-
1. Mh. Mbunge Wilfred Lwakatare
2. Katibu Alex Xavery (Katibu)
3. Happiness Essau (Afisa habari Bukoba)
4. Chief Karumuna (Mayor wa Bukoba)
5. Jimmy Kalugendo (Naibu Mayor)
6. Na washiriki wote wa Warsha hiyo na wale wote wenye mapenzi ya Maendeleo ya Bukoba mjini.
Karibuni...
[HASHTAG]#Tushirikishane[/HASHTAG] [HASHTAG]#Bukoba[/HASHTAG]
Kufahamu majimbo mengine yenye mradi huu tembelea - JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"
======
UPDATE: 1st December, 2016.
Waendeshajinwa mradi wa [HASHTAG]#TUSHIRIKISHANE[/HASHTAG]. Wanawaalika wana tushirikishane katika kikao chetu kwa pamoja kinachotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 02/12/2016 katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa Bukoba kuanzia saa nane za mchana.
Ufunguzi rasmi wa kikao utaanza saa tisa kamili bila kujali idadi ya wajumbe.
Kuwahi ni muhimu sana, kuhudhuria kwako ndiyo mafanikio ya taarifa nyeti za halmashauri kuwafikia wananchi moja kwa moja.
Mchango wako wa maoni, maswali, na hoja mbalimbali ndiyo chachu ya maendeleo ya jimbo letu.
Kumbuka wewe ni mwakilishi wa mamia, nao wanakutegemea bila kujua, tenda haki na Mungu atakulipa kwa namna yake.
Njooni tupate kujua miradi yetu imepiga hatua kwa kiwango gani mpaka sasa.
Waweza kukili kuhudhuria kwako kwa msg fupi kwenda namba 0765 82 92 56.
Taarifa hii mfikishie na mwenzio.
Asanteni sana na Mungu awabariki.
=====
Akaunti za mradi wa Tushirikishane katika mitandao ya Kijamii:
Tushirikishane (@tushirikishane) • Instagram photos and videos
Tushirikishane | Facebook
Tushirikishane (@tushirikishane) | Twitter
Mbona maendeleo yalishapatikana na yanaendelea kupatikana mkuu hebu tazama mji wa bukoba unavyokua kwa kasi .kwa taarifa yako hio miradi mingi unaendelea kutekelezwa hapa bk.we baki huko huko na chuki zako za kijinga na kipumbavu na usije bk maana we unaiona kama si tz kama sehemu nyingine. Bk inaendelea kupeta na kukua kwa kasi na maendeleo yanapatikana mkuu.utakufa vibaya na chuki zako mkuu na wivu wako.kwanza huku hapakuhusuBukoba kwenu kupata maendeleo itakuwa ni ndoto, kwa sababu asili ya muhaya yeyote duniani ni kuona mwenzie anataabika,anadhalilika, analia na njaa, mjiulize ni kwa nini mkuu aliwakazia hawa watu walipopata majanga ya tetemeko la ardhi, ## ni kwa sababu anawajua vizuri tabia zao
Wivu utakuua mkuuBukoba kwenu kupata maendeleo itakuwa ni ndoto, kwa sababu asili ya muhaya yeyote duniani ni kuona mwenzie anataabika,anadhalilika, analia na njaa, mjiulize ni kwa nini mkuu aliwakazia hawa watu walipopata majanga ya tetemeko la ardhi, ## ni kwa sababu anawajua vizuri tabia zao
Hao ni wa kuachana nao mkuu wala hata usiharibu mda wako mzuri kujibizana nao, si unawajua na roho zao za kwanini. Kama wanataka kubishana waambie tu wafunge safari waje wenyewe waone, na wako wengi sana hata kule Jf nilimwona bwege mmoja kaandika eti kafika hapo Bkb hajawaona wahaya isipokuwa wanyarwanda. Watu wasiopenda kuona wala kusikia Bkb inapaa wako wengi sana lakini washachelewa.Mbona maendeleo yalishapatikana na yanaendelea kupatikana mkuu hebu tazama mji wa bukoba unavyokua kwa kasi .kwa taarifa yako hio miradi mingi unaendelea kutekelezwa hapa bk.we baki huko huko na chuki zako za kijinga na kipumbavu na usije bk maana we unaiona kama si tz kama sehemu nyingine. Bk inaendelea kupeta na kukua kwa kasi na maendeleo yanapatikana mkuu.utakufa vibaya na chuki zako mkuu na wivu wako.kwanza huku hapakuhusu
Yaani wanachukia wahaya na maendeleo yao sijui kwa nini? Ila mi naona bk inaizidi kukua kwa kasi nimeshangaa kukuta mji unaanza kukaribia katoma mji unapanuka kwa haraka sana hasa kimakaziHao ni wa kuachana nao mkuu wala hata usiharibu mda wako mzuri kujibizana nao, si unawajua na roho zao za kwanini. Kama wanataka kubishana waambie tu wafunge safari waje wenyewe waone, na wako wengi sana hata kule Jf nilimwona bwege mmoja kaandika eti kafika hapo Bkb hajawaona wahaya isipokuwa wanyarwanda. Watu wasiopenda kuona wala kusikia Bkb inapaa wako wengi sana lakini washachelewa.
Neema yaja bukoba hebu tazama video iliyopostiwa na Millard ayo YouTube nimeshindwa kuiweka humuTulia stand iishe, u/ndege ukamilike na meli ije ..kuna watakaokwenda hadi kwa sangoma kuichawia Bkb