TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Hivi ni nini huwa kinazuia uwepo wa ruti za ndani za daladala hapo town?
Huduma muhimu zimerundikana sehemu moja mfano mabenki na ofisi zote na mashirika yako pale kati hotel viwanja vya mchezo hata maeneo ya kupumzika wakivisambaratisha mzunguko utakuwepo
 
Kuhusu nini kaka?
Kuhusu manispaa kupokea billion 5 za ujenzi wa barabara mbalimbali kama ile ya beach,kashenye,nshambya na ile ya chemba na wataweka na taa za barabara na pia ameongelea stendi na ujenzi wake video IPO YouTube Millard ayo
 
Huduma muhimu zimerundikana sehemu moja mfano mabenki na ofisi zote na mashirika yako pale kati hotel viwanja vya mchezo hata maeneo ya kupumzika wakivisambaratisha mzunguko utakuwepo
Stendi ikishatolewa pale na kuipeleka kyakairabwa uhitaji wa daladala utakuwepo.hebu wafikirie watu wa kahororo, ihungo ,bunena na hata mjini kati watapandaje bodaboda tu kwenda kyakairabwa? Nauli je ?
 
Ilo ni kweli mkuu ila tunaongelea kwa wakati uliopo ndo kinakwamisha tofauti na mikoa mengine hizi stendi,viwanja vya ndege na ofisi kubwa hazipo town ila kizuri naona mji unazidi kupanuka kuelekea green belt ila uwa nawalaumu sana manispaaa kwa vibarabara vya mtaani wanavyojenga ni vidogo sana havina kiwango itawapa kazi ya kubomoa na kujenga upya angalia kama barabara ya kutoka pale kibeta inayopita rugambwa kashura njoo mpaka kasarani ikate kwenda mpaka nyakanyasi hamugembe na kengine kanaenda uswahilini iyo barabara inamtukanisha engineer wa manispaa na mipango miji
 
Bara hiyo siku ina mashimo mpaka basi yaani sijui manispaa inatumia wakandarasi wa wapi? Hebu tusubirie labda maana naona manispaa siku hizi inajikakamua kuweka mji vzr
 
Wanaingia baraza la madiwani sijui hizo barabara zinajengwaga wakiwa Wapi niliona na kashai uko makosa ya barabara yanajirudia yaleyale barabara ndogo magari mawili hayapishani hazina mitaro matope yamejaa yani tabu tupu
 
Unayosema ni kweli tu
 
Hizo tender watakuwa wanawapa watu wao kwa kujuana ama pesa inayotengwa siyo inayotumika wajanja wachache wananufaika juu kwa juu. Barabara kama za vijijini kwa bibi zangu kumbe ni za manispaa. Lakini si kuna sheria za aina na vipimo vya barabara kuanzia za mitaa, manispaa, majiji na zile za tanroad ama wao wanatumia michoro ya nchi gani hao ma injinia?
 
Nimemuona Chief kwenye hiyo taarifa yake ya kufunga mwaka, kwa kweli inatia moyo sababu amesema stend wanatarajia phase ya kwanza kuisha mwezi wa pili na barabara pamoja na kufunga taa muda wowote watasaini mkataba na engineer
Yaa ndo hiyo inatia moyo
 
Ndo nawaza miaka yote naonaga tenda ni wale jamaa sijui abemulo wa pale Prince ila vitu wanavyofanya vinashusha taaluma yao
 
Nimemuona Chief kwenye hiyo taarifa yake ya kufunga mwaka, kwa kweli inatia moyo sababu amesema stend wanatarajia phase ya kwanza kuisha mwezi wa pili na barabara pamoja na kufunga taa muda wowote watasaini mkataba na engineer
Unaweza ipost humu ili watu waione mi imeshindikana
 
Ndo nawaza miaka yote naonaga tenda ni wale jamaa sijui abemulo wa pale Prince ila vitu wanavyofanya vinashusha taaluma yao
Kampuni ya wazawa hiyo ndo imetengeneza pale hamugembe na pale stendi wanaitumia kwa sababu inamilikiwa na watu toka Bk
 
Wametengeneza kitu gani pale hamugembe nimetoka bukoba mwezi wa nane pia nakumbuka pale stand napo walitaka wafanye mambo bila kujali ubora ndo ikabidi waparudie kuchimba zaidi pia ndo wamekuwa wakitengeneza barabara za manispaa hiIzi tunazolalamikia ambazo haipiti mwezi bila kuwa na mashimo
 
Back
Top Bottom