instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Kyakairabwa kunajengwa stendi mbili ya mabasi na hiace za wilayani hivyo watu wote wanaoingia mjini kwa magari watashukia kyakairabwa phase ya pili itakuwa ujenzi wa jengo la wasafiri kati kati ya stendi hizi .route za daladala za kutoka kyakairabwa kuelekea maeneo mengi ya mji ni muhimu sana hasa za kyakairabwa kuelekea mjini ,bandari, kahororo, airport, ihungo na kibeta vinginevyo watu watateseka sana na usafiri