TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Wiki hii kunani hapo kwetu jamani? Waswahili walisema hivi ..."Atashuliza ajunza".
 
Natoa pole sana kwa ndugu zetu kutokana na mafuriko yaliyoukumba mji wetu mzuri. Ninaomba kila mwenye uwezo na amsaidie mwenziwe na katu msije kuanza kuililia tena serikali, naumia sana kuyasema haya ila ni bora kuumia kuliko kuumizwa. Serikali hii ipo kwa ajiri ya kuumiza na kuifikiria ije kusaidia ni kutafuta kilio zaidi. Tuungane sisi kwa sisi vinginevyo "twaafa", na mafuriko "hayajaletwa na serikali". Tujifunze.
 
Happiness Essau mbona kimya sana au devices zako zimechukuliwa na maji?
Madhara kiasi gani mji wa bukoba umepata kutokana na mafuriko?
Miundombinu gani mikubwa ya serikali imeathirika?
Ndugu yangu hawa waandishi, maripota na mablogger wa Bukoba kuna wakati huwa siwaelewi kabisa, si watu wa kurely katika kupata habari hata kidogo. Mtu unashindwa kuelewa ni kivipi ishu ya jana mtu kama Happy haonekani as if perhaps hayuko hapo mkoani, (where is urgency)? Blog zilizolipoti jana ni Bukobawadau na Bukobasports lakini hata wao ndo yale yale, wameripoti jana na kuonesha how massive the disaster had hit lakini leo hakuna wanakoleta mwendelezo wa jana. Yaani it was done and over on the day.

That is Bukoba news biders!, full of pomposity.
 
Bukoba wadau huwa ni jinga, kazi kuweka mipicha ya harusi na misiba zaidi ya 200.Mipicha inajirudia rudia. Niliachaga kumfuatilia.
 
Cjapata ripoti kamili ya maafa ya haya, nitakapoipata nitawafikishia hapa bila shaka.

Asnt sana kwa kufatilia
Ndg. mpaka ripoti itoke ni lini? Kwani ukiingia mtaani ukakusanya baadhi ya picha, maoni n.k juu ya mafuriko itaharibu nini? Hata picha tatu zimekushinda eti unasubiri ripoti, mbona kila siku unaleta picha za barabara na madimbwi mjini nani huwa anakupa ruhusa?
 
Hawa huwa hawajielewi kabisa sijuhi tatizo ni elimu ndogo kwao ama nini. Blog nzima imejaa misiba na harusi as if mkoa wa kagera hakuna shughuri zingine za maana zaidi ya harusi na na misiba.

Hawa ndo wanajiita mablog wa mkoa, pity!
 
Hivi kwanza mbunge wetu yupo Bukoba au KWAKE KIMARA? Ningesema yuko Bungeni lakini ukweli haonekani wala mchango wake hausikiki. Nilitegemea awe jimboni kufariji waathirika wa mafuriko.
 
Kaka mie sijawahi kumwona mbunge kama mtu sahihi ...ni mbabaishaji
 
Hivi kwanza mbunge wetu yupo Bukoba au KWAKE KIMARA? Ningesema yuko Bungeni lakini ukweli haonekani wala mchango wake hausikiki. Nilitegemea awe jimboni kufariji waathirika wa mafuriko.
Kaka mie sijawahi kumwona mbunge kama mtu sahihi ...ni mbabaishaji
 
Bukoba wadau huwa ni jinga, kazi kuweka mipicha ya harusi na misiba zaidi ya 200.Mipicha inajirudia rudia. Niliachaga kumfuatilia.
Mkuu nahitaji sapoti yako na watu kama wewe ambao tunaumizwa na mabloggers wetu hawa, mkinihakikishia sapoti niko tayari kuanzisha blog ambayo itakuwa inadili na Mkoa wetu kwa ujumla lakini zaidi kuongelea maendeleo ya mkoa mzima 1. Kiutalii, ki elimu, kiuchumi, kimazingira n.k. 2. Kutangaza mandhari na upana wa uzuri wa jiografia ya Mkoa. 3. Kuzipa kipaumbele changamoto za kimkoa na kuona njia za kuyatatua kwa kukutana na wataalamu.

Ni sapoti tu ninayohiitaji toka kwenu ili nikawe mbadala wa hawa na kufika pale ambapo kusema kweli wao wameshindwa kufika.

Hatuwezi kuendelea kuwa walalamikaji pasipo kuchukua hatua za maana
 
Mkuu uko vizur kwa hilo wazo lako, jarbu tupo nyuma yako
 
Asante sana, namtanguliza Mungu mbele naamini ndoto yangu/yetu itakuwa. Najipa mda kufika June niwe nimeiweka hewani na kuileta kwenu wana wa mkoa wetu mzuri sana wa Kagera. Naamini tunayo mazuri mengi sana kuhusu mkoa wetu na ni naamini hili litadhihirika kupitia blog yetu, waitu wakola.

Asante sana kwa kuniunga mkono mkuu, tuwe pamoja.
 
Tupo nyuma yako mkuu
 
Tupo nyuma yako mkuu
Asante sana mkuu kwa kulipenda hili wazo na kwa taharifa tu ni kwamba mambo yameshaanza, mipango inaendelea na taratibu zingine zinasonga. Hatimaye nitaitambulisha kwenu ikiwa tayari kwa manufaa ya mkoa wetu.

Kasinge mno waitu.
 
Safi sana ndugu Rweye.[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Wewe Dada yangu Happy ndo nahitaji sana msaada wako mkubwa kuliko hata wa mtu mwingine labda. Ntakutegemea sana na naamini utanisaidia ili tufike huko.

Pasaka njema!
 
Back
Top Bottom