Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu hawa waandishi, maripota na mablogger wa Bukoba kuna wakati huwa siwaelewi kabisa, si watu wa kurely katika kupata habari hata kidogo. Mtu unashindwa kuelewa ni kivipi ishu ya jana mtu kama Happy haonekani as if perhaps hayuko hapo mkoani, (where is urgency)? Blog zilizolipoti jana ni Bukobawadau na Bukobasports lakini hata wao ndo yale yale, wameripoti jana na kuonesha how massive the disaster had hit lakini leo hakuna wanakoleta mwendelezo wa jana. Yaani it was done and over on the day.Happiness Essau mbona kimya sana au devices zako zimechukuliwa na maji?
Madhara kiasi gani mji wa bukoba umepata kutokana na mafuriko?
Miundombinu gani mikubwa ya serikali imeathirika?
Cjapata ripoti kamili ya maafa ya haya, nitakapoipata nitawafikishia hapa bila shaka.Happiness Essau mbona kimya sana au devices zako zimechukuliwa na maji?
Madhara kiasi gani mji wa bukoba umepata kutokana na mafuriko?
Miundombinu gani mikubwa ya serikali imeathirika?
Bukoba wadau huwa ni jinga, kazi kuweka mipicha ya harusi na misiba zaidi ya 200.Mipicha inajirudia rudia. Niliachaga kumfuatilia.Ndugu yangu hawa waandishi, maripota na mablogger wa Bukoba kuna wakati huwa siwaelewi kabisa, si watu wa kurely katika kupata habari hata kidogo. Mtu unashindwa kuelewa ni kivipi ishu ya jana mtu kama Happy haonekani as if perhaps hayuko hapo mkoani, (where is urgency)? Blog zilizolipoti jana ni Bukobawadau na Bukobasports lakini hata wao ndo yale yale, wameripoti jana na kuonesha how massive the disaster had hit lakini leo hakuna wanakoleta mwendelezo wa jana. Yaani it was done and over on the day.
That is Bukoba news biders!, full of pomposity.
Ndg. mpaka ripoti itoke ni lini? Kwani ukiingia mtaani ukakusanya baadhi ya picha, maoni n.k juu ya mafuriko itaharibu nini? Hata picha tatu zimekushinda eti unasubiri ripoti, mbona kila siku unaleta picha za barabara na madimbwi mjini nani huwa anakupa ruhusa?Cjapata ripoti kamili ya maafa ya haya, nitakapoipata nitawafikishia hapa bila shaka.
Asnt sana kwa kufatilia
Ndg. mpaka ripoti itoke ni lini? Kwani ukiingia mtaani ukakusanya baadhi ya picha, maoni n.k juu ya mafuriko itaharibu nini? Hata picha tatu zimekushinda eti unasubiri ripoti, mbona kila siku unaleta picha za barabara na madimbwi mjini nani huwa anakupa ruhusa?Cjapata ripoti kamili ya maafa ya haya, nitakapoipata nitawafikishia hapa bila shaka.
Asnt sana kwa kufatilia
Hawa huwa hawajielewi kabisa sijuhi tatizo ni elimu ndogo kwao ama nini. Blog nzima imejaa misiba na harusi as if mkoa wa kagera hakuna shughuri zingine za maana zaidi ya harusi na na misiba.Bukoba wadau huwa ni jinga, kazi kuweka mipicha ya harusi na misiba zaidi ya 200.Mipicha inajirudia rudia. Niliachaga kumfuatilia.
Kaka mie sijawahi kumwona mbunge kama mtu sahihi ...ni mbabaishajiHivi kwanza mbunge wetu yupo Bukoba au KWAKE KIMARA? Ningesema yuko Bungeni lakini ukweli haonekani wala mchango wake hausikiki. Nilitegemea awe jimboni kufariji waathirika wa mafuriko.
Kaka mie sijawahi kumwona mbunge kama mtu sahihi ...ni mbabaishajiHivi kwanza mbunge wetu yupo Bukoba au KWAKE KIMARA? Ningesema yuko Bungeni lakini ukweli haonekani wala mchango wake hausikiki. Nilitegemea awe jimboni kufariji waathirika wa mafuriko.
Mkuu nahitaji sapoti yako na watu kama wewe ambao tunaumizwa na mabloggers wetu hawa, mkinihakikishia sapoti niko tayari kuanzisha blog ambayo itakuwa inadili na Mkoa wetu kwa ujumla lakini zaidi kuongelea maendeleo ya mkoa mzima 1. Kiutalii, ki elimu, kiuchumi, kimazingira n.k. 2. Kutangaza mandhari na upana wa uzuri wa jiografia ya Mkoa. 3. Kuzipa kipaumbele changamoto za kimkoa na kuona njia za kuyatatua kwa kukutana na wataalamu.Bukoba wadau huwa ni jinga, kazi kuweka mipicha ya harusi na misiba zaidi ya 200.Mipicha inajirudia rudia. Niliachaga kumfuatilia.
Mkuu uko vizur kwa hilo wazo lako, jarbu tupo nyuma yakoMkuu nahitaji sapoti yako na watu kama wewe ambao tunaumizwa na mabloggers wetu hawa, mkinihakikishia sapoti niko tayari kuanzisha blog ambayo itakuwa inadili na Mkoa wetu kwa ujumla lakini zaidi kuongelea maendeleo ya mkoa mzima 1. Kiutalii, ki elimu, kiuchumi, kimazingira n.k. 2. Kutangaza mandhari na upana wa uzuri wa jiografia ya Mkoa. 3. Kuzipa kipaumbele changamoto za kimkoa na kuona njia za kuyatatua kwa kukutana na wataalamu.
Ni sapoti tu ninayohiitaji toka kwenu ili nikawe mbadala wa hawa na kufika pale ambapo kusema kweli wao wameshindwa kufika.
Hatuwezi kuendelea kuwa walalamikaji pasipo kuchukua hatua za maana
Asante sana, namtanguliza Mungu mbele naamini ndoto yangu/yetu itakuwa. Najipa mda kufika June niwe nimeiweka hewani na kuileta kwenu wana wa mkoa wetu mzuri sana wa Kagera. Naamini tunayo mazuri mengi sana kuhusu mkoa wetu na ni naamini hili litadhihirika kupitia blog yetu, waitu wakola.Mkuu uko vizur kwa hilo wazo lako, jarbu tupo nyuma yako
Tupo nyuma yako mkuuAsante sana, namtanguliza Mungu mbele naamini ndoto yangu/yetu itakuwa. Najipa mda kufika June niwe nimeiweka hewani na kuileta kwenu wana wa mkoa wetu mzuri sana wa Kagera. Naamini tunayo mazuri mengi sana kuhusu mkoa wetu na ni naamini hili litadhihirika kupitia blog yetu, waitu wakola.
Asante sana kwa kuniunga mkono mkuu, tuwe pamoja.
Asante sana mkuu kwa kulipenda hili wazo na kwa taharifa tu ni kwamba mambo yameshaanza, mipango inaendelea na taratibu zingine zinasonga. Hatimaye nitaitambulisha kwenu ikiwa tayari kwa manufaa ya mkoa wetu.Tupo nyuma yako mkuu
Safi sana ndugu Rweye.[emoji122] [emoji122] [emoji122]Asante sana mkuu kwa kulipenda hili wazo na kwa taharifa tu ni kwamba mambo yameshaanza, mipango inaendelea na taratibu zingine zinasonga. Hatimaye nitaitambulisha kwenu ikiwa tayari kwa manufaa ya mkoa wetu.
Kasinge mno waitu.
Wewe Dada yangu Happy ndo nahitaji sana msaada wako mkubwa kuliko hata wa mtu mwingine labda. Ntakutegemea sana na naamini utanisaidia ili tufike huko.Safi sana ndugu Rweye.[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hapana shaka kabisa, karibu!Wewe Dada yangu Happy ndo nahitaji sana msaada wako mkubwa kuliko hata wa mtu mwingine labda. Ntakutegemea sana na naamini utanisaidia ili tufike huko.
Pasaka njema!